Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Al-Houthi: Saudia ni mbeba bendera ya unafiki katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Al-Houthi: Saudia ni mbeba bendera ya unafiki katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 12, 2016 23:15

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema "utawala wa kishetani wa Saudia" ni "mbeba bendera ya unafiki" katika Ulimwengu wa Kiislamu.

  • Mivutano katika uhusiano wa Misri na Saudia

    Mivutano katika uhusiano wa Misri na Saudia

    Oct 12, 2016 12:00

    Inavyoonesha, mgogoro wa Syria utaifanya fungate ya ndoa ya uhusiano wa Misri na Saudi Arabia imalizike kabla ya muda uliotarajiwa.

  • Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa

    Saudia ilishambulia kwa makusudi kikao cha maombolezo mjini Sanaa

    Oct 12, 2016 00:36

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia ilishambulia kwa makusudi kikao cha khitma na maombolezo mjini Sanaa ambapo mamia ya watu waliuawa na kujeruhiwa siku ya Jumamosi.

  • Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen

    Iran kuwatibu waliojeruhiwa katika hujuma ya kinyama ya Saudia nchini Yemen

    Oct 11, 2016 23:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema iko tayari kuwapokea na kuwatibu waliojeruhiwa hivi karibuni katika hujuma ya kikatili ya ndege za kivita za Saudia dhidi ya watu waliokuwa wamekusanyika katika mazishi nchini Yemen.

  • Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 2 na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 2 na sauti

    Oct 11, 2016 15:00

    Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya pili ya vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw) mienendo na fikra hasi za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine duniani.

  • Ripoti: Mrithi wa ufalme wa Saudia na kaimu wake wamejitosa kwenye vita vya kuwania madaraka

    Ripoti: Mrithi wa ufalme wa Saudia na kaimu wake wamejitosa kwenye vita vya kuwania madaraka

    Oct 11, 2016 04:35

    Jarida mashuhuri la kisiasa la Ghuba Mpya limeripoti kuwa hivi sasa vita vya kuwania madaraka vimeanza baina ya mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia na kaimu wake.

  • Vikosi vya kujitolea vya Wayemeni vyajibu jinai za Saudia

    Vikosi vya kujitolea vya Wayemeni vyajibu jinai za Saudia

    Oct 09, 2016 11:22

    Jeshi na vikosi vya kujitolea vya wananchi wa Yemen vimefanya oparesheni kusini mwa Saudi Arabia na kuuwa na kuwajeruhi wanajeshi kadhaa wa nchi hiyo.

  • US kusitisha msaada wa kijeshi kwa Saudia dhidi ya Yemen?

    US kusitisha msaada wa kijeshi kwa Saudia dhidi ya Yemen?

    Oct 09, 2016 04:13

    Kufuatia malalamiko na makelele ya jamii ya kimataifa, Marekani imesema inaangalia upya iwapo itaendelea kuipa Saudi Arabia msaada wa kijeshi katika hujuma zake za anga dhidi ya Yemen au la.

  • Iran yailaani Saudia kwa kuua raia nchini Yemen

    Iran yailaani Saudia kwa kuua raia nchini Yemen

    Oct 09, 2016 01:18

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya ndege za kivita za Saudia kushambulia mazishi katika mji mkuu wa Yemen San'aa ambapo raia karibu 160 wameuawa na wengine wasiopungua 500 kujeruhiwa.

  • Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 1 na sauti

    Mfululizo wa vipindi vya ukosoaji dhidi ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 1 na sauti

    Oct 08, 2016 14:42

    Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuungana nami katika sehemu ya kwanza ya kipindi kinachokosoa mienendo na fikra za makundi yanayowakufurisha Waislamu wengine kwa mujibu wa Qur'ani na hadithi za Mtume (saw).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS