Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • SAUTI, Sababu ya Saudia kushambulia ovyo maeneo ya raia yabainika kuwa ni baada ya kushindwa kwake vitani

    SAUTI, Sababu ya Saudia kushambulia ovyo maeneo ya raia yabainika kuwa ni baada ya kushindwa kwake vitani

    Oct 08, 2016 13:57

    Walimwengu wameendelea kulaani kimya cha jamii ya kimataifa ukiwemo Umoja wa Mataifa juu ya jinai za kutisha za Saudi Arabia nchini Yemen, huku wahanga wakubwa wa jinai hizo wakiwa ni raia wa kawaida.

  • Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen

    Watoto ni waathirika wa hujuma ya Saudia na waitifaki wake nchini Yemen

    Oct 06, 2016 04:06

    Hujuma za ndege za kivita za Saudi Arabia na waitifake wake Yemen, mbali na kuwaua maelfu ya raia wa nchi hiyo na kusababisha hasara ya mabilioni ya dola kwa miundo mbinu ya nchi hiyo, pia zimesababisha zaidi ya watoto milioni mbili Wayemen kukosa masomo.

  • Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake

    Jeshi la Iran lazionya meli za Saudia zisikaribie maji yake

    Oct 06, 2016 01:11

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC limetoa onyo kali kwa manowari za Saudi Arabia zinazofanya mazoezi ya kijeshi katika Ghuba ya Uajemi, Ghuba ya Oman na Lango Bahari la Hormuz, dhidi ya kukaribia maji ya nchi hii.

  • Saudia: Hatutachunguza jinai tulizofanya Yemen

    Saudia: Hatutachunguza jinai tulizofanya Yemen

    Oct 06, 2016 01:10

    Kwa mara nyingine tena Saudi Arabia imepinga wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo nchini Yemen.

  • Saudia yapinga kuundwa kamati ya kutafuta ukweli kuhusu jinai ilizofanya Yemen

    Saudia yapinga kuundwa kamati ya kutafuta ukweli kuhusu jinai ilizofanya Yemen

    Oct 04, 2016 11:35

    Utawala wa Saudi Arabia umepinga wito wa Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo nchini Yemen.

  • Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu

    Ubalozi wa Saudia Morocco wavunjia heshima nakala za Qur'ani Tukufu

    Oct 03, 2016 23:28

    Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.

  • Saudia yaacha kutumia kalenda ya Kiislamu na kuanza kutumia ya Kikristo

    Saudia yaacha kutumia kalenda ya Kiislamu na kuanza kutumia ya Kikristo

    Oct 03, 2016 11:40

    Saudi Arabia imetangaza kuacha kutumia kalenda ya Kiislamu ya Hijria Qamaria na kuanza kutumia kalenda ya Kikristo katika kazi za kiserikali kutokana na kile ilichosema ni sehemu ya kubana matumizi.

  • UN yapinga kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    UN yapinga kufanyika uchunguzi kuhusu jinai za Saudia huko Yemen

    Oct 01, 2016 23:17

    Umoja wa Mataifa umepinga suala la kufanyika uchunguzi kuhusu jinai na uhalifu unaofanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen.

  • Wamarekani waanza kuisakama Saudia juu ya shambulio la Septemba 11

    Wamarekani waanza kuisakama Saudia juu ya shambulio la Septemba 11

    Oct 01, 2016 04:23

    Mjane wa Kimarekani ambaye mumewe aliuawa katika shambulizi la Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani ameipeleka mahakamani serikali ya Saudi Arabia kwa kuhusika na hujuma hiyo, sambamba na kutaka kulipwa fidia kutokana na mauaji ya mumewe.

  • Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran

    Saudia inaunga mkono wahalifu mashariki mwa Iran

    Sep 30, 2016 03:39

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran Abdul Ridha Rahman Fadhli amesema Saudi Arabia inaunga mkono wahalifu katika eneo la mashariki mwa nchi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS