Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudia yaendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen; raia kadhaa wauawa

    Saudia yaendeleza mashambulio ya anga dhidi ya Yemen; raia kadhaa wauawa

    Sep 30, 2016 00:52

    Mashambulio ya anga ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia katika maeneo kadhaa ya Yemen yameua na kujeruhi raia kadhaa wa nchi hiyo.

  • Rial ya Saudia yashuka thamani baada ya kubatilishwa veto ya Rais Obama

    Rial ya Saudia yashuka thamani baada ya kubatilishwa veto ya Rais Obama

    Sep 29, 2016 10:54

    Rial ya Saudia imeshuka thamani hii leo baada ya kongresi ya Marekani kupasisha muswada unaoitaka serikali ya Riyadh kuzilipa fidia familia za wahanga wa mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 nchini Marekani.

  • Iran: Madai kuwa Tehran inaipa silaha Ansarullah ya Yemen haya msingi

    Iran: Madai kuwa Tehran inaipa silaha Ansarullah ya Yemen haya msingi

    Sep 29, 2016 10:16

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekanusha vikali madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuwa Tehran inalifadhili kundi la wanaharakati wa Ansarullah wa Yemen.

  • Wafanyakazi Saudia wafanya maandamano kwa kutolipwa mishahara yao miezi sita

    Wafanyakazi Saudia wafanya maandamano kwa kutolipwa mishahara yao miezi sita

    Sep 29, 2016 01:08

    Wafanyakazi wa moja ya mashirika makubwa ya eneo la mashariki mwa Saudia wamefanya maandamano kulalamikia kutolipwa misharahara yao.

  • Jumatatu, Septemba 26, 2016

    Jumatatu, Septemba 26, 2016

    Sep 26, 2016 00:27

    Leo ni Jumatatu tarehe 24 Dhulhija 1437 Hijria sawa na Septemba 26, 201.

  • Saudia yafuta taarifa za maafa ya Mina; zaidi ya mahujaji 800 wamefariki mwaka huu

    Saudia yafuta taarifa za maafa ya Mina; zaidi ya mahujaji 800 wamefariki mwaka huu

    Sep 25, 2016 12:23

    Baada ya kupita mwaka mmoja tangu yalipotokea maafa ya Mina serikali ya Saudi Arabia imefuta taarifa zote kuhusu watu waliopoteza maisha katika maafa hayo.

  • Raia saba Yemen wauawa katika hujuma za Saudia

    Raia saba Yemen wauawa katika hujuma za Saudia

    Sep 25, 2016 04:48

    Raia saba wameuawa katika hujuma ya hivi karibuni ya ndege za kivita za Saudia nchini Yemen.

  • Mashindano ya Paralimpiki ya Rio De Janeiro Brazil yamalizika

    Mashindano ya Paralimpiki ya Rio De Janeiro Brazil yamalizika

    Sep 19, 2016 03:51

    Mashindano ya Olimpiki kwa walemavu yaliyokuwa yakifanyika mjini Rio De Janeiro, nchini Brazil yalimalizika rasmi usiku wa kuamkia leo kwa shamrashamra na nderemo mbalimbali.

  • Nafasi ya undumakuwili ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za Saudia na Marekani

    Nafasi ya undumakuwili ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai za Saudia na Marekani

    Sep 18, 2016 23:40

    Saudia imeinyima ruhusa ya kurejea nyumbani timu ya wawakilishi wa mazungumzo ya amani ya Yemen iliyokuwa imefanya safari nchini humo.

  • Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Marekani yaziuzia nchi za Ghuba ya Uajemi silaha za zaidi ya dola bilioni 33

    Sep 18, 2016 05:49

    Serikali ya Marekani imeziuzia baadhi ya nchi za Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi silaha zenye thamani ya zaidi ya bilioni 33 tangu mwaka 2014 hadi leo hii.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS