-
Magaidi wanaopata msaada wa Saudia wauawa nchini Iran
Sep 12, 2016 03:31Askari wa Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) wamesambaratisha mtandao wa magaidi wanaopata himaya ya Saudi Arabia na Marekani katika mkoa wa Sistan na Baluchestan kusini mashariki mwa nchi.
-
Maafa ya Mina ni thibitisho watawala wa Aal Saud hawastahiki kusimamia Haram Mbili Takatifu
Sep 12, 2016 03:28Khatibu wa Sala ya Idul Adhaa mjini Tehran amesema maafa ya Mina katika msimu wa Hija mwaka jana ni thibitisho kuwa utawala wa ukoo wa Aal Saud haustahiki kusimamia Maeneo Mawili Matakatifu ya Waislamu.
-
Saudia yazuia Wasyria kuhiji kwa mwaka wa tano mfululizo
Sep 12, 2016 02:12Utawala wa ukoo wa Aal Saud kwa mwaka wa tano mfululizo umewazuia Mahujaji kutoka Syria kuingia Saudi Arabia kutekeleza Ibada ya Hija.
-
Saudia na Israel zashirikiana katika marasimu ya Hija ya mwaka huu
Sep 11, 2016 09:57Utawala wa Kizayuni wa Israel unashirikiana na Saudi Arabia katika marasimu ya ibada ya Hija mwaka huu.
-
Saudi Arabia yazidi kuwachochea maadui wa taifa la Iran
Sep 09, 2016 23:41Utawala wa ukoo wa Aal Saud wa Saudi Arabia umeendelea na hatua zake za kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa kuzidi kuonesha uadui wake dhidi ya Iran. Katika hatua ya karibuni kabisa ya uadui huo, viongozi wa Saudia wamewafanya kuwa wageni wao rasmi watu wanaoendesha uchochezi ndani ya Iran.
-
Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa
Sep 09, 2016 22:55Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.
-
Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina
Sep 07, 2016 08:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Iwapo utawala wa Saudia haupaswi kulaumiwa kuhusu maafa ya Mina, basi ukubali jopo la Kiislamu-Kimataifa lichunguze kwa karibu maafa hayo na kuweka kila kitu wazi."
-
Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia katika mahojiano na CNN
Sep 08, 2016 23:15Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ambaye ameelekea mjini London, Uingereza kushiriki kikao cha 'marafiki' wa Syria amefanyiwa mahojiano na Christiane Amanpour, ripota wa kanali ya televisheni ya CNN kuhusiana na mgogoro wa Syria ambapo katika maelezo yake kunashuhudiwa mchanganyiko wa madai, kutojielewa na uingiliaji wa wazi wa masuala ya nchi nyingine.
-
Maafa ya Mina (8) Mwisho
Sep 08, 2016 11:57Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Natumai hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan hapo nyumbani Afrika Mashariki.
-
Marekani yapendekeza kuiuzia Saudia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115
Sep 08, 2016 03:30Ripoti za siri zilizofichuliwa zinaeleza kuwa serikali ya Marekani imependekeza kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115.