Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Saudi Arabia yazidi kuwachochea maadui wa taifa la Iran

    Saudi Arabia yazidi kuwachochea maadui wa taifa la Iran

    Sep 09, 2016 23:41

    Utawala wa ukoo wa Aal Saud wa Saudi Arabia umeendelea na hatua zake za kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu kwa kuzidi kuonesha uadui wake dhidi ya Iran. Katika hatua ya karibuni kabisa ya uadui huo, viongozi wa Saudia wamewafanya kuwa wageni wao rasmi watu wanaoendesha uchochezi ndani ya Iran.

  • Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa

    Mamilioni waandamana Iran kulaani jinai za Aal Saud na Aal Khalifa

    Sep 09, 2016 22:55

    Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameandamana kote nchini kulaani jinai za tawala za kikoo za Aal Saud huko Saudi Arabia na Aal Khalifa huko Bahrain kwa jinai zao dhidi ya watu wa eneo.

  • Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina

    Kiongozi Muadhamu: Saudia ikubali uchunguzi kuhusu maafa ya Mina

    Sep 07, 2016 08:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa: "Iwapo utawala wa Saudia haupaswi kulaumiwa kuhusu maafa ya Mina, basi ukubali jopo la Kiislamu-Kimataifa lichunguze kwa karibu maafa hayo na kuweka kila kitu wazi."

  • Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia katika mahojiano na CNN

    Matamshi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia katika mahojiano na CNN

    Sep 08, 2016 23:15

    Adel al-Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ambaye ameelekea mjini London, Uingereza kushiriki kikao cha 'marafiki' wa Syria amefanyiwa mahojiano na Christiane Amanpour, ripota wa kanali ya televisheni ya CNN kuhusiana na mgogoro wa Syria ambapo katika maelezo yake kunashuhudiwa mchanganyiko wa madai, kutojielewa na uingiliaji wa wazi wa masuala ya nchi nyingine.

  • Maafa ya Mina (8) Mwisho

    Maafa ya Mina (8) Mwisho

    Sep 08, 2016 11:57

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Natumai hamjambo wapenzi wasikilizaji popote pale yanapokufikieni matangazo haya ya Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hususan hapo nyumbani Afrika Mashariki.

  • Marekani yapendekeza kuiuzia Saudia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115

    Marekani yapendekeza kuiuzia Saudia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115

    Sep 08, 2016 03:30

    Ripoti za siri zilizofichuliwa zinaeleza kuwa serikali ya Marekani imependekeza kuiuzia Saudi Arabia silaha zenye thamani ya dola bilioni 115.

  • Alhamisi, Septemba 8, 2016

    Alhamisi, Septemba 8, 2016

    Sep 08, 2016 00:06

    Leo ni Alkhamisi tarehe 6 Dhilhija 1437 Hijria sawa na tarehe 8 Septemba 2016.

  • Rais Rouhani:Nchi za Waislamu ziungane kukabiliana na jinai za Saudi Arabia

    Rais Rouhani:Nchi za Waislamu ziungane kukabiliana na jinai za Saudi Arabia

    Sep 07, 2016 08:54

    Rais Hassan Rouhani wa Iran ametoa wito kwa nchi za Waislamu dunaini kuungana na kuuwajibisha utawala wa Saudia kutokana na jinai zake katika nchi za Waislamu eneo la Mashariki ya Kati.

  • Hizbullah: Njama za Saudia dhidi ya Uislamu ni mbaya zaidi kuliko hata za Marekani

    Hizbullah: Njama za Saudia dhidi ya Uislamu ni mbaya zaidi kuliko hata za Marekani

    Sep 07, 2016 03:10

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini Lebanon, Sheikh Naim Qassem amesema kuwa njama za utawala wa Saudia ni mbaya zaidi kulikoza Marekani katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu

    Ayatullah Shirazi: Uwahabi ni tishio kubwa zaidi kwa Uislamu na Ubinadamu

    Sep 05, 2016 03:04

    Mwanazuoni wa ngazi za juu nchini Iran amesema hii leo Uwahabi una wafuasi wanaotenda jinai na wasio na huruma hata kidogo na hivyo ni hatari kubwa zaidi kwa Uislamu na ubinadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS