Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Ndege za kivita za Saudia zashambulia Yemen mara 80 kwa siku moja

    Ndege za kivita za Saudia zashambulia Yemen mara 80 kwa siku moja

    Sep 04, 2016 09:26

    Raia kadhaa wa Yemen, wakiwemo watoto, wameuawa baada ya ndege za kivita za Saudi Arabia kutekeleza mashambulizi zaidi ya 80 kote Yemen katika muda wa siku moja.

  • Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen

    Marekani inaunga mkono hujuma za Saudia dhidi ya Wayemen

    Sep 02, 2016 22:50

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen amelaani vikali Marekani kwa kutoa misaada ya kijeshi na kisiasa kwa Saudi Arabia katika mashambulizi yake ya kudondosha mabomu dhidi ya watu wa Yemen.

  • Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka

    Wanazuoni wawili wa Kishia wa Saudia watiwa mbaroni Makka

    Aug 31, 2016 23:24

    Askari usalama wa Saudi Arabia wamewatia mbaroni wanazuoni wawili wa Kishia wa nchini humo.

  • Jumanne, Agosti 30, 2016

    Jumanne, Agosti 30, 2016

    Aug 29, 2016 23:57

    Leo ni Jumanne tarehe 27 Dhulqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 30 Agosti 2016.

  • Gordon Duff: Ofisi za udiplomasia za Saudia duniani zinatumika kwa ujasusi

    Gordon Duff: Ofisi za udiplomasia za Saudia duniani zinatumika kwa ujasusi

    Aug 29, 2016 23:31

    Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchini Marekani Gordon Duff, amesema kuwa ofisi za udiplomasia za Saudia kote duniani zinatumika kwa ajili ya shughuli za ujasusi.

  • Mashambulio mapya ya Saudia yaua raia 12 nchini Yemen

    Mashambulio mapya ya Saudia yaua raia 12 nchini Yemen

    Aug 28, 2016 03:06

    Watu wasiopungua 10 wameuawa katika mashambulio ya karibuni yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudia katika eneo la Shar'ab mkoani Taiz nchini Yemen.

  • Jarida la Jane's Defence: Bajeti ya kijeshi ya Saudia kufikia dola bilioni 52

    Jarida la Jane's Defence: Bajeti ya kijeshi ya Saudia kufikia dola bilioni 52

    Aug 25, 2016 03:30

    Jarida la masuala ya kijeshi la Jane's Defence limeripoti kuwa bajeti ya kijeshi ya baadhi ya nchi za Mashariki ya Kati itaongezeka katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

  • Taathira ya fedha za Saudia katika ripoti ya UN kuhusu mauaji ya watoto wa Yemen

    Taathira ya fedha za Saudia katika ripoti ya UN kuhusu mauaji ya watoto wa Yemen

    Aug 18, 2016 01:26

    Wiki iliyopita katika siku ya 500 ya mashambulizi ya Saudi Arabia dhidi ya watu wa Yemen Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitoa taarifa inayoonesha idadi ya watu waliouawa, kujeruhiwa na kupatwa na madhara katika nchi hiyo maskini.

  • Askari kadhaa wa Saudia wauawa katika matukio tofauti

    Askari kadhaa wa Saudia wauawa katika matukio tofauti

    Aug 17, 2016 23:20

    Duru za habari nchini Saudia zimeripoti kuuawa kwa kupigwa risasi afisa mmoja wa polisi, mashariki mwa nchi hiyo.

  • EU yakema vikali mashambulizi ya Saudia dhidi ya hospitali Yemen

    EU yakema vikali mashambulizi ya Saudia dhidi ya hospitali Yemen

    Aug 17, 2016 09:32

    Msemaji wa Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amekemea vikali mashambulizi yaliyofanywa na Saudi Arabia dhidi ya hospitali nchini Yemen na kutoa wito wa kutatuliwa mgogoro wa nchi hiyo kwa njia za kisiasa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS