-
Msururu wa hukumu za vifo na kunyonga watu kwa halaiki; rekodi ya jinai aliyojiwekea Bin Salman
Nov 07, 2022 05:40Shirika la Haki za Kibinadamu la Saudi Arabia lenye makao yake Ulaya limefichua kuwa viongozi wa utawala wa Riyadh wametoa hukumu ya kifo kwa wafungwa 15 walioshtakiwa kwa masuala ya kiitikadi, na kwamba kwa kutolewa hukumu hizo, idadi ya watu walio hatarini kunyongwa nchini humo imefika 53, wanane miongoni mwao wakiwa ni vijana chipukizi na watoto wadogo.
-
Iran yajibu uvumi wa gazeti la Marekani kuhusu kuishambulia Saudia
Nov 02, 2022 23:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu uvumi ulioenezwa na gazeti la Marekani la Wall Street Journal lililodai kuwa kuna uwezekano Iran ikashambulia baadhi ya maeneo ya Saudi Arabia na kusema kuwa hayo ni madai chapwa yasiyo na msingi wowote.
-
Walebanon wataka kutimuliwa balozi wa Saudi Arabia mjini Beirut
Nov 02, 2022 10:09Wananchi wa Lebanon wametoa mwito wa kutimuliwa nchini humo balozi wa Saudi Arabia wakimtuhumu kwamba, amekuwa akiingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Hizbullah: Saudia na Marekani zinakwamisha uchaguzi wa Rais wa Lebanon
Oct 25, 2022 07:29Afisa mwandamizi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema balozi za Saudi Arabia na Marekani jijini Beirut zimekula njama na kuweka vizingiti vya kila aina ili kukwamisha uchaguzi wa rais, huku ikiwa imesalia wiki moja tu kabla ya kumalizika muhula wa Rais Michel Aoun wa nchi hiyo.
-
Sanders aitaka Marekani iondoe askari wake Saudia, iache kuiuzia silaha
Oct 08, 2022 03:20Seneta wa kujitegemea aliyekuwa pia mgombea uteuzi wa kuwania urais wa Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic ametoa wito wa kuondolewa wanajeshi wa Marekani nchini Saudi Arabia na kukomeshwa kwa misaada ya kijeshi kwa Ufalme wa kihafidhina wa nchi hiyo kwa sababu ya kupunguza uzalishaji wa mafuta.
-
Yemen: Hakutakuwa na usitishaji vita hadi haki za watu wa Yemen zipatikane
Oct 06, 2022 23:04Waziri Mkuu wa Serikali ya Uokovu wa Kitaifa ya Yemen ameutaja muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia na Umoja wa Mataifa kuwa zinahusika katika kufeli kwa usitishaji vita huko Yemen.
-
Ujerumani yachochea vita dhidi ya Yemen kwa kuiuzia Saudia silaha
Oct 03, 2022 05:49Takriban wiki moja baada ya ziara ya Kansela wa Ujerumani Olaf Schultz nchini Saudi Arabia, Berlin kwa mara nyingine tena imeanza kuiuzia Saudia Arabia silaha na zana za kivita.
-
Chama cha Kushoto cha Ujerumani chakosoa hatua ya Berlin ya kuiuzia silaha Saudia
Oct 02, 2022 08:37Chama cha mrengo wa kushoto cha Ujerumani kimekosoa vikali hatua ya serikali mpya ya muungano ya nchi hiyo ya kutoa leseni ya kuuza silaha kwa serikali ya Saudi Arabia.
-
Sanad yalaani kuongezeka hukumu za kikatili nchini Saudi Arabia
Oct 01, 2022 22:44Shirika la kutetea haki za binadamu la "Sanad" limetangaza kuwa kumeshuhudiwa ongezeko la kukamatwa wakosoaji na hukumu za kikatili na kidhalimu nchini Saudi Arabia katika kipindi cha hivi karibuni.
-
Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso: Saudi Arabia ndio sababu ya ukame na njaa inayowakabili Wayamen
Sep 24, 2022 09:38Shirika la Kimataifa la Kupambana na Mateso limesema katika ripoti yake kwamba, muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia ndio chimbuko la ukame na njaa inayowakabili wananchi wa Yemen kutokana na kuiziingira nchi nchi hiyo.