Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Bin Salman akaribishwa kwa maandamano nchini Uingereza

    Sep 18, 2022 03:36

    Makumi ya watetezi wa haki za binadamu wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Saudi Arabia mjini London, kulaani safari ya Mrithi wa Ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman nchini Uingereza.

  • Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo

    Raisi: Kuimarishwa uhusiano wa Saudi Arabia na Iran ni kwa maslahi ya usalama wa eneo

    Aug 30, 2022 03:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ubunifu na hatua za Iraq katika kuboresha ushirikiano baina ya nchi za eneo bila uingiliaji wa madola ajinabi ni jambo ambalo limekuwa na taathira na kuongeza kuwa: "Kurekebishwa na kuimarishwa uhusiano wa Iran na Saudi Arabia ni kwa maslahi ya usalama wa eneo."

  • Iraq: Kikao kijacho cha Iran na Saudia mjini Baghdad kitafanyika hadharani

    Iraq: Kikao kijacho cha Iran na Saudia mjini Baghdad kitafanyika hadharani

    Jul 23, 2022 21:53

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema, kikao kijacho cha Saudi Arabia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Baghdad kitakuwa cha mazungumzo ya wazi kutokana na ombi lililotolewa na mrithi wa ufalme wa Saudia.

  • Iran yaipongeza Iraq kwa kushajiisha mazungumzo katika eneo

    Iran yaipongeza Iraq kwa kushajiisha mazungumzo katika eneo

    Jul 18, 2022 03:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameipongeza Iraq kwa nafasi yake athirifu na jitihada zake za kushajiisha utumiaji wa mazungumzo kwa ajili ya kujaribu kutatua matatizo na changamoto zinaolikabili eneo hili la Asia Magharibi.

  • Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

    Hizbullah yatoa msimamo kwa hatua ya Saudia kuifungulia Israel anga yake

    Jul 17, 2022 06:28

    Hizbullah ya Lebanon imesema, hatua ya Saudi Arabia ya kuufungulia utawala haramu wa Kizayuni wa Israel mipaka ya anga yake ni sawa na kuwa mshirika wa jinai zinazofanywa na utawala huo na ni usaliti kwa umma wa Kiislamu.

  • Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu

    Hamas yapinga misimamo ya Saudia ya kujikurubisha zaidi kwa wazayuni maghasibu

    Jul 15, 2022 22:25

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imepinga vikali hatua ya Saudi Arabia ya kufungua anga ya nchi hiyo kwa ndege za utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Ndege maalumu ya shirika la ujasusi la Israel, Mossad yatua Riyadh, Saudi Arabia

    Ndege maalumu ya shirika la ujasusi la Israel, Mossad yatua Riyadh, Saudi Arabia

    Jul 11, 2022 22:50

    Vyombo vya habari vya utawala haramu wa Kizayuni wa Israel vimeripoti kuwa, ndege maalumu ya shirika la ujasusi la utawala huo Mossad imetua katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh.

  • Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia

    Jaribio la Biden kuhalalisha safari yake ya Saudi Arabia

    Jul 11, 2022 20:55

    Rais Joe Biden wa Marekani amedai katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la Washington Post kwamba katika kipindi cha miezi 18 ya uongozi wake, eneo la Asia Magharibi limekuwa shwari na salama zaidi kuliko hapo awali. Biden ameyasema hayo katika jitihada zake za kujaribu kuhalalisha safari yake tarajiwa nchini Saud Arabia.

  • Mapendekezo ya Amnesty International kwa Riyadh kuhusu haki za binadamu

    Mapendekezo ya Amnesty International kwa Riyadh kuhusu haki za binadamu

    Jul 11, 2022 03:51

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu lisilo la kiserikali la (Amnesty International) limetaka kusainiwa waraka ambao unamtaka Mfalme wa Salman wa Saudi Arabia aondoe marufuku ya kiholela dhidi ya safari ya wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini humo.

  • Saudia inakaribia kuwanyonga vijana watano raia wa nchi hiyo

    Saudia inakaribia kuwanyonga vijana watano raia wa nchi hiyo

    Jul 03, 2022 23:02

    Utawala wa Aal Saud unaendelea kutekeleza vitendo vyake viovu na vilivyo kinyume cha sheria kwa kuwafunga jela raia kinyume cha sheria kutokana na umri wao mdogo, kwa tuhuma zisizo na msingi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS