Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Saudia

  • Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

    Iran yakamilisha oparesheni ya kuwatuma waumini kwenda Hija

    Jul 03, 2022 04:54

    Mkuu wa oparesheni ya kuwabeba Wairani wanaoenda kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu amesema oparesheni hiyo inakamilika usiku wa leo.

  • Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria

    Njama mpya za Marekani na Saudi Arabia nchini Syria

    Jun 25, 2022 22:02

    Baadhi ya vyanzo vya habari vimeripoti kuwa Marekani na Saudi Arabia zimeanzisha jitihada za pamoja za kuunda upya kikosi kinachojulikana kwa jina la Jaish Maghawir al-Thawra (Jeshi la Makomando wa Mapinduzi) katika kituo cha Al-Tanf kinachosimamiwa na Marekani kilichoko kwenye mpaka wa Jordan, Syrian na Iraq.

  • Iran yatuma ujumbe wa watu sita katika ubalozi wake mdogo nchini Saudia

    Iran yatuma ujumbe wa watu sita katika ubalozi wake mdogo nchini Saudia

    May 31, 2022 03:08

    Iran imetuma wajumbe wake sita wa ubalozi mdogo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje kwa ajili ya kwenda kutoa huduma kwa raia wa Iran wakati wa ibada za Hija mwaka huu.

  • Jeshi la Yemen latungua droni ya ujasusi yenye silaha ya Saudia

    Jeshi la Yemen latungua droni ya ujasusi yenye silaha ya Saudia

    May 04, 2022 03:26

    Msemaji wa jeshi la Yemen amesema kuwa jeshi hilo limeitungua droni ya ujasusi yenye slaha ya Saudi Arabia katika anga ya mkoa wa Hajjah huko Yemen.

  • Wasiwasi wa Shirika la Haki za Wahamiaji kuhusu hali ya wafanyakazi wa kigeni katika magereza ya Saudi Arabia

    Wasiwasi wa Shirika la Haki za Wahamiaji kuhusu hali ya wafanyakazi wa kigeni katika magereza ya Saudi Arabia

    May 01, 2022 23:39

    Shirika la Haki za Wahamiaji limeelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kusikitisha ya wafanyakazi wa kigeni wanaozuiliwa katika magereza ya Saudia.

  • Wademokrati wataka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia

    Wademokrati wataka kuangaliwa upya uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia

    Apr 14, 2022 03:24

    Wademokrati wa Kongresi ya Marekani wanasema, kuiunga mkono Saudi Arabia ni "kinyume" na maslahi ya Marekani.

  • Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi

    Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi

    Apr 08, 2022 21:54

    Huku mzozo wa kiuchumi wa serikali ya Ankara na changamoto za kifedha zikizidi kuongezeka, matatizo ya maisha ya watu wa Uturuki hatimaye yameipelekea serikali ya Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena kushirikiana na utawala haramu wa Israel, Marekani, Misri na tawala nyingine vibaraka za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.

  • Mamia ya Waethiopia warudishwa kwao kutoka Saudia baada ya mateso makubwa

    Mamia ya Waethiopia warudishwa kwao kutoka Saudia baada ya mateso makubwa

    Mar 31, 2022 06:28

    Mamia ya raia wa Ethiopia jana Jumatano waliwasili Addis Ababa mji mkuu wa nchi hiyo, hilo likiwa kundi la kwanza la raia wapatao 100,000 kurejeshwa nyumbani wakitokea Saudi Arabia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje: Haijawahi kutokea mfano wa jinai za Saudia nchini Yemen

    Waziri wa Mambo ya Nje: Haijawahi kutokea mfano wa jinai za Saudia nchini Yemen

    Mar 26, 2022 22:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kwa mnasaba wa kuingia mwaka wa nane wa vita vya kivamizi dhidi ya nchi yake kwamba, historia haijawahi kushuhudia mfano wa jinai za Saudi Arabia za nchini Yemen.

  • Makombora ya Yemen yateketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco Jiddah, Imarati yatangaza hali ya hatari

    Makombora ya Yemen yateketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco Jiddah, Imarati yatangaza hali ya hatari

    Mar 26, 2022 03:37

    Wakati moto mkubwa ukiendelea kuteketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco huko Jeddah nchini Saudi Arabia, kiwango cha tahadhari kimepandishwa juu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa hofu ya operesheni za kijeshi za jeshi la Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wanaolipiza kisasi hujuma za muungano wa vita unaoongoza na Saudia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS