• Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (1)

    Mawaidha ya Muharram na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania (1)

    Oct 05, 2016 04:13

    Tukiwa ndio tunaingia tena kwenye mwezi mtukufu wa Muharram, hapa tumekuwekeeni mfululizo wa mawaidha maalumu ya Muharram kama yanavyotolewa na Sheikh Abdul Latif Issa Swaleh wa Kondoa Tanzania, hii ikiwa ni sehemu ya kwanza ya mawaidha hayo.

  • Mafundisho ya Imam Hussein AS (2)

    Mafundisho ya Imam Hussein AS (2)

    Oct 04, 2016 03:32

    Bismillahir Rahmanir Rahim. Mpenzi msikilizaji tunaendelea kukuleteeni mfululizo wa makala hizi za Mafundisho ya Imam Husain AS ambao ni maalumu kwa ajili ya mwezi huu mtukufu wa Muharram kwa ajili ya kuzungumzia mapambano ya Imam Husain AS katika jangwa la Karbala lililoko Iraq ya leo.

  • Mafundisho ya Imam Hussein AS (1)

    Mafundisho ya Imam Hussein AS (1)

    Oct 04, 2016 02:52

    Daima kumekuwepo na swali hili kwamba je, ni nini hasa lengo la mapambano ya Imam Hussein (as)? Je, lengo lake lilikuwa ni kuchukua utawala au lilikuwa ni kuleta mabadiliko na marekebisho kwenye jamii ya Kiislamu? Je, Imam (as) hangeweza kutumia njia nyingine ya amani ili kufikia lengo hilo bila kufanya mapambano ambayo yalisababisha uporaji, kutekwa nyara na umwagaji damu ya Watu wa Nyumba ya Mtukufu Mtume (saW)?

  • SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania

    SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania

    Aug 23, 2016 02:37

    Hatua ya kuzidi kufichuliwa wafanyakazi hewa katika taasisi mbalimbali za serikali nchini Tanzania, kumewafanya wananchi wa nchi hiyo waibebeshe mzigo wa lawama serikali ya ilyopita ya Jakaya Mrisho Kikwete na kulalamika kuwa fedha nyingi za umma zilipotea kutokana na udhaifu wa serikali hiyo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam.

  • Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika

    Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika

    Jul 05, 2016 02:48

    Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….

  • Wananchi wa Uganda walalamikia ziara ya Netanyahu nchini mwao

    Wananchi wa Uganda walalamikia ziara ya Netanyahu nchini mwao

    Jul 05, 2016 02:44

    Raia nchini Uganda wamekosoa ziara ya Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu nchini humo, kutokana na ukatili wa kutisha unaofanywa na utawala huo dhidi ya wananchi madhlum wa Palestina. Waganda wameihoji serikali yao kwa kumwalika Netanyahu huku akijua kuwa kiongozi huyo wa Israel ni mvunjaji mkubwa wa haki za binaadamu.

  • Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Kuendelea radiamali za kutiwa mbaroni wanasiasa nchini Kenya

    Jun 18, 2016 06:47

    Hatua ya polisi ya Kenya ya kuwatia nguvu wanasiasa kadhaa kwa tuhuma za kuchochea machafuko na chuki za kikabila imepokewa kwa hisia tofauti, huku sauti ya chama cha ODM ikiwa kali zaidi kupinga zoezi hilo. Mwandishi wa Radio Tehran wa Mombasa Kenya na ripoti zaidi...