Waislamu Tanzania watakiwa kusherehekea Idul Fitr kwa namna inayokubalika
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i10627-waislamu_tanzania_watakiwa_kusherehekea_idul_fitr_kwa_namna_inayokubalika
Huku Waislamu wakijiandaa kwa ajili ya sherehe za Iddil-Fitri kutokana na kuelekea kumalizika mwezi mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuadhimisha sherehe hizo kwa Amani na utulivu. Hayo yamesemwa na Sheikh Mkuu wa Dar es Salaam, Alhadi Mussa Salum, ambapo pia amewataka Waislamu hao kujiepusha kumuasi Mwenyezi Mungu katika sherehe hizo….
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Jul 05, 2016 02:48 UTC