Wananchi wa Uganda walalamikia ziara ya Netanyahu nchini mwao
Jul 05, 2016 02:44 UTC
Raia nchini Uganda wamekosoa ziara ya Waziri Mkuu wa Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu nchini humo, kutokana na ukatili wa kutisha unaofanywa na utawala huo dhidi ya wananchi madhlum wa Palestina. Waganda wameihoji serikali yao kwa kumwalika Netanyahu huku akijua kuwa kiongozi huyo wa Israel ni mvunjaji mkubwa wa haki za binaadamu.
Tags