Dec 02, 2023 11:06 UTC

Uamuzi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wa kuikabidhi shughuli za uendeshaji wa Bandari ya Malindi kampuni ya Ufaransa ya AGL kwa lengo la kuongeza ufanisi katika bandari hiyo hauonekani kuzaa matunda yaliyokusudiwa kutokana na kampuni hiyo ya nchi ya Ulaya kulalamikiwa vikali.

Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti hiyo hapo juu ya mwandishi wetu wa Zanzibar, Harith Subeit.

Tags