May 04, 2023 02:10 UTC

Jana Jumatano, Mei 3, 2023 ilikuwa ni siku ya vyombo vya habari. Rais Hussein Ali Hassan Mwinyi wa Zanzibari ametua fursa hiyo kutoa maagizo matano. Moja ya maagizo hayo ni kuwataka waandishi wa habari kutumia siku hiyo kuandaa hafla zinazohusu uhusiano kati ya uhuru wa vyombo vya habari, kujieleza na haki nyingine. Harith Subeit na maelezo zaidi kutoka Zanzibar.

Tags