SAUTI: Serikali ya Jakaya Kikwete yabebeshwa zigo la lawama Tanzania
Aug 23, 2016 02:37 UTC
Hatua ya kuzidi kufichuliwa wafanyakazi hewa katika taasisi mbalimbali za serikali nchini Tanzania, kumewafanya wananchi wa nchi hiyo waibebeshe mzigo wa lawama serikali ya ilyopita ya Jakaya Mrisho Kikwete na kulalamika kuwa fedha nyingi za umma zilipotea kutokana na udhaifu wa serikali hiyo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wa Radio Tehran, jijini Dar es Salaam.
Tags