Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sayyid Hassan Nasrullah

  • Sayyid Nasrullah: Utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndoto na Iran

    Sayyid Nasrullah: Utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndoto na Iran

    May 14, 2020 07:58

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, washauri wa Kiirani walioko nchini Syria si wanajeshi na kwamba utawala wa Kizayuni umejiingiza kwenye vita vya kwenye ndogo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Uchambuzi wa Sayyid Hassan Nasrullah juu ya uamuzi wa Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    Uchambuzi wa Sayyid Hassan Nasrullah juu ya uamuzi wa Ujerumani dhidi ya Hizbullah

    May 06, 2020 08:06

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwamba uamuzi wa Ujerumani wa kuituhumu harakati hiyo kuwa ni ya kigaidi ulitokana na mashinikizo ya Marekani na utawala haramu wa Kizayuni.

  • Nasrullah: Maadui wanataka kuondoa imani ya wananchi kwa kambi ya Muqawama

    Nasrullah: Maadui wanataka kuondoa imani ya wananchi kwa kambi ya Muqawama

    Mar 21, 2020 08:08

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, maadui wanafanya kila njia ili kuyumbisha imani iliyopo baina ya Muqawama na wananchi, ambao ndio watoaji msukumo halisi kwa mhimili wa muqawama.

  • Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote

    Sayyid Hassan Nasrullah: Kukabiliana na Marekani ni lazima kuwe kwa pande zote na kuhusishe sekta zote

    Feb 16, 2020 16:06

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani ni muhusika wa vita vyote eneo la Asia Magharibi na amesisitiza kuwa, ni lazima kuendesha muqawama katika pande zote kukabiliana na utawala huo wa kibeberu wa Marekani.

  • "Marekani ilivuka mistari yote miekundu kwa kumuua shahidi Jen. Soleimani"

    Feb 14, 2020 03:24

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kwa kumuua kigaidi shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani Kamanda wa Kikosi cha Qods cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ( SEPAH), Marekani ilivuka mistari yote miekundu na kwamba mauaji hayo yamegeuza mahesabu yote katika eneo la Asia Magharibi.

  • Nasrullah: Siku ya kuuawa shahidi Kamanda Soleimani, mwanzo wa historia mpya Mashariki ya Kati + Video

    Nasrullah: Siku ya kuuawa shahidi Kamanda Soleimani, mwanzo wa historia mpya Mashariki ya Kati + Video

    Jan 05, 2020 15:56

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, tarehe 3 Januari 2020 ambayo ni siku ya kuuawa shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH, ni mwanzo wa historia mpya katika eneo la Mashariki ya Kati.

  • Sayyid Nasrullah: Vikosi vya Muqawama kote duniani kujibu mapigo ya kuuawa shahidi Soleimani

    Sayyid Nasrullah: Vikosi vya Muqawama kote duniani kujibu mapigo ya kuuawa shahidi Soleimani

    Jan 03, 2020 13:55

    Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema vikosi vya wanamuqawama kote duniani vina jukumu la kuwaadhibu wale waliohusika na mauaji ya kikatili ya Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Meja Jenerali Qassem Solaimani.

  • Nasrullah: Hizbullah ni tishio kubwa kwa njama za Marekani na Israel

    Nasrullah: Hizbullah ni tishio kubwa kwa njama za Marekani na Israel

    Dec 14, 2019 07:25

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema njama ghalati za Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo zimekuwa zikigonga mwamba kutokana na uwepo na kusimama kidete harakati hiyo ya muqawama.

  • Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi la Quds amuunga mkono Sayyid Hassan Nasrullah

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi la Quds amuunga mkono Sayyid Hassan Nasrullah

    Dec 09, 2019 12:23

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Othodoksi katika mji mtukufu wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) Atallah Hanna, ameiunga harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon sambamba na kulaani matamshi yaliyotolewa na Askofu wa Kanisa la Othodoksi katika mji mkuu wa nchi hiyo Beirut, ya kuitusi harakati hiyo na Katibu Mkuu wake Sayyid Hassan Nasrullah.

  • Nasrullah: Hizbullah inatekeleza jukumu lake, Marekani inazuia utatuzi Lebanon

    Nasrullah: Hizbullah inatekeleza jukumu lake, Marekani inazuia utatuzi Lebanon

    Nov 02, 2019 04:19

    Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon jana Ijumaa alitoa hotuba muhimu katika kumbukumbu za kumuenzi Allama Sayyid Murdha al Amili, mmoja wa maulamaa na wanavyuoni wakubwa wa nchini Lebanon, na mbali na kugusia shakhsia ya mwanachuoni huyo, amezungumzia pia matukio ya ndani ya Lebanon na kujiuzulu waziri mkuu wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS