-
Sayyid Hassan Nasrullah: Maadui wamejawa hofu kwa kushuhudia matembezi ya Arubaini
Oct 19, 2019 13:36Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesisitiza kuwa, uwepo wa mamilioni ya watu mjini Karbala ni jambo lisilo na mfano katika historia na kwamba Marekani, utawala haramu wa Kizayuni, mabeberu na madhalimu wa dunia wanahisi hofu kubwa kwa kushuhudia matembezi ya mamilioni ya watu katika Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Hizbullah: Tawala za nchi za Kiarabu ndizo zinazobeba dhima ya matatizo ya umma wa Kiislamu
Sep 25, 2019 07:48Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, kushindwa tawala za nchi za Kiarabu kutekeleza majukumu yao ndiyo sababu ya kupata matatizo umma wa Kiislamu na kuendelea kuwepo utawala pandikizi wa Israel katika eneo hili.
-
Radiamali ya Sayyid Hassan Nasrullah kwa uchaguzi wa Israel na mashambulio dhidi ya Aramco
Sep 22, 2019 02:29Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah alasiri juzi Ijumaa Septemba 20 alitoa radiamali yake kwa uchaguzi wa bunge wa Israel na mashambulizi dhidi ya vituo vya mafuta vya Aramco vya Saudia.
-
Sayyid Nasrullah: Saudia ikomeshe mauaji Yemen kwa usalama wake
Sep 21, 2019 08:00Katibu Mkuu wa Harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Lebanon (Hizbullah) amewaasa watawala wa Saudi Arabia wakomesha mashambulizi ya umwagaji damu nchini Yemen kwa maslahi ya taifa lao.
-
Sayyid Hassan Nasrullah: Vita vyovyote dhidi ya Iran vina maana ya kufutwa Israel katika uso wa dunia
Sep 10, 2019 12:41Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema mbele ya mjumuiko mkubwa wa Waislamu waliofurika kwa ajili ya maombolezo ya Siku ya Ashura ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Husain AS kwamba, vita vyovyote vile dhidi ya Iran vitakuwa na maana ya kuangamizwa na kufutwa katika uso wa dunia, dola pandikizi la Israel.
-
Nasrallah: Hizbullah itajibu vikali uchokozi wowote wa utawala wa Israel
Sep 03, 2019 04:35Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel kutokana na chokochoko zake dhidi ya Lebanon, na kusema: "Uchokozi wa Israel utapata jibu kali kutoka kwa harakati ya muqawama (Hizbullah)."
-
Sayyid Nasrallah: Vita dhidi ya Iran vitawasha moto mkubwa eneo lote
Aug 17, 2019 04:08Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ametahadharisha kuwa vita dhidi ya Iran ni sawa na vita dhidi ya mhimili mzima wa muqawama (mapambano ya Kiislamu) na kwa msingi huo amesisitiza kuwa: "Vita dhidi ya Iran vitawasha moto katika eneo lote."
-
Uungaji mkono wa Shekhe wa Muqawama kwa diplomasia ya Zarif
Aug 15, 2019 07:56Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amemtumia ujumbe Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambapo sambamba na kulaani hatua ya Marekani ya kumwekea vikwazo Mohammad Javad Zarif amesisitizia mshikamano wa muqawama kwa mwanadiplomasia huyo.
-
Spika Larijani: Njama za Wazayuni za kuzigawanya nchi za Kiislamu zimegonga mwamba
Aug 14, 2019 12:49Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa mkono wa pongezi na baraka kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Hizbullah ya Lebanon katika vita vya siku 33 na kusisitiza kwamba, njama za Wazayuni za kuzigawanya nchi za Kiislamu zimegonga mwamba.
-
Utendaji wa Taasisi ya Jihadi ya Ujenzi kwa maneno ya Sayyid Hassan Nasrullah
Jul 28, 2019 07:25Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah, amezungumzia suala la kutimia mwaka wa 31 wa kuasisiwa taasis ya Jihad ya Ujenzi, ambapo amesema kuwa muqawama wa Kiislamu nchini Lebanon umesimama imara katika nyanja zote kukabiliana na adui mvamizi.