-
Jumatatu tarehe 4 Aprili 2022
Apr 03, 2022 22:13Leo ni Jumatatu tarehe Pili Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprtiili 4 mwaka 2022.
-
Khatibzadeh: Bara la Afrika lina nafasi maalumu katika siasa za nje za Iran
Mar 30, 2022 07:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Iran amesema kuwa bara la Afrika lina nafasi ya juu kabisa katika siasa za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal
Mar 21, 2022 03:12Mamlaka ya Gambia imetangazai kwamba imehesabu zaidi ya watu 6,000 waliokimbia ghasia za wiki moja iliyopita kati ya jeshi na waasi wenye silaha katika eneo la Casamance kusini mwa nchi jirani ya Senegal.
-
Rais wa Senegal alipongeza taifa la Iran kwa maadhimisho ya Siku ya Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2022 03:25Rais wa Senegal ametoa mkono wa baraka na fanaka kwa serikali na taifa la Iran kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Wabunge Senegal wawasilisha muswada dhidi ya ushoga
Dec 23, 2021 23:20Kundi la wabunge nchini Senegal limewasilisha muswada bungeni ili kutilia mkazo na kulipa nguvu suala la kutokomeza vitendo vya ushoga na mahusiano ya watu wenye jinsia moja katika nchi hiyo ya Maghariibi mwa Afrika yenye raia wengi Waislamu.
-
Jumapili, Aprili 4, 2021
Apr 03, 2021 22:01Leo ni Jumapili tarehe 4 Aprili mwaka 2021 Miladia, inayosadifiana na tarehe 21 Shaaban mwaka 1442 Hijria.
-
Skuli zafungwa kwa muda wa juma zima Senegal kufuatia mapigano na machafuko
Mar 08, 2021 04:12Skuli zimefungwa kwa muda wa juma zima nchini Senegal kutokana na mapigano na machafuko yaliyozuka hivi karibuni nchini humo.
-
4 wauawa katika maandamano ya kupinga kukamatwa kinara wa upinzani Senegal
Mar 06, 2021 04:44Kwa akali watu wanne wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya ghasia ya kulalamikia kitendo cha maafisa usalama kumtia mbaroni kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini Senegal.
-
Rais wa Senegal yuko karantini baada ya kutangamana na mwenye corona
Jun 25, 2020 03:26Rais Macky Sall wa Senegal amejiweka katika karantini baada ya kutagusana na mtu mwenye maradhi ya COVID-19.
-
Wananchi wa Senegal waandamana kulaani ubaguzi wa rangi Marekani
Jun 11, 2020 03:34Wananchi wa Senegal wamefanya maandamano kulaani ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi ya Marekani dhidi ya raia weusi wa nchi hiyo.