-
Hali ya maambukizi ya corona nchini Senegal inatia wasiwasi
Jun 01, 2020 03:05Hali ya maambukizi ya virusi vya corona nchini Senegal khususan katika mji mkuu wa nchi hiyo imewapelekea maafisa wa afya na tiba wa nchi hiyo kubainisha wasiwasi wao.
-
Senegal yalalamikia kitendo cha Ufaransa cha kuanzisha safari za ndege za upande mmoja kuingia Dakar
May 15, 2020 21:58Rais Macky Sall wa Senegal amelaani kitendo cha shirika la ndege la Ufaransa kuanzisha safari za upande mmoja kuingia mjini Dakar, mji mkuu wa Senegal na kusisitiza kwamba, hadi sasa Ufaransa bado inazihesabu nchi za Afrika kuwa ni koloni lake.
-
Rais wa Senegal ataka kupanuliwa uhusiano wa nchi yake na Iran
Mar 11, 2020 03:44Rais Macky Sall wa Senegal ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Senegal na Saudia zaripoti kesi za kwanza za Corona, waliofariki Marekani wafika 6
Mar 03, 2020 04:00Saudi Arabia, Jordan na Tunisia ni nchi za hivi punde katika ulimwengu wa Kiarabu kuripoti kesi za kwanza za virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu zaidi ya elfu tatu kote duniani, hususan nchini China.
-
Marasimu ya miaka 41 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yafanyika Senegal
Feb 14, 2020 03:59Marasimu ya kuadhimisha mwaka wa 41 wa Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamefanyika nchini Senegal.
-
Rais wa Senegal atangaza msamaha kwa kinara wa upinzani
Sep 30, 2019 04:03Rais Macky Sall wa Senegal ametangaza msahama kwa kiongozi wa upinzani nchini humo, Khalifa Sall ambaye alikuwa anatumikia kifungo cha miaka mitano jela tokea mwaka jana 2018 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Iran na Senegal zasisitiza kustawisha uhusiano baina yao
Jul 25, 2019 22:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Rais wa Senegal wamesisitiza kustawishwa uhusiano wa pande mbili katika nyanja zote.
-
Rais wa Senegal amtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo 'ajifute kazi'
Apr 07, 2019 02:35Rais wa Senegal, Macky Sall ambaye alishinda muhula wa pili katika uchaguzi wa hivi karibuni amemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuzindua mageuzi ya uongozi, yanayojumuisha kufuta wadhifa wa Uwaziri Mkuu.
-
Alkhamisi, 04 Aprili, 2019
Apr 03, 2019 22:23Leo ni Alkhamisi tarehe 28 ya mwezi Rajab 1440 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 4 Aprili 2019 Miladia.
-
Macky Sall ashinda tena kiti cha urais Senegal kwa kupata asilimia 58 ya kura
Feb 28, 2019 12:32Rais Macky Sall wa Senegal ameshinda tena kiti cha urais kwa kuibuka na ushindi wa asilimia 58 ya kura zilizopigwa katika uchaguzi wa Jumapili iliyopita. Hayo ni kwa mujibu wa matokeo ya muda yaliyotangazwa leo na Tume ya Uchaguzi ya Senegal.