-
Tahadhari yatolewa kuhusu hatari ya kujipenyeza zaidi Wazayuni barani Afrika
May 24, 2018 07:36Waziri wa zamani wa masuala ya kidini wa Senegal ametahadharisha kuhusu hatari ya kuzidi kujipenyeza Wazayuni barani Afrika.
-
Zarif awasili Brazil baada ya kufanya mazungumzo na Rais wa Senegal
Apr 10, 2018 07:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Brazil mapema leo Jumanne katika safari yake ya kiduru ya kuzitembelea nchi kadha za Afrika na Amerika ya Latini.
-
Iran na Senegal zaazimia kuimarisha uhusiano baina yao
Apr 10, 2018 02:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Senegal zimesisitiza juu ya azma ziliyonayo ya kuimarisha zaidi ushirikiano baina yao zikiwa nchi mbili wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC.
-
Zarif asisitiza kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Iran na Senegal
Apr 09, 2018 07:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameashiria nyanja za ushirikiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Senegal na kusisitizia kuimarishwa na kustawishwa uhusiano wa pande mbili hizo.
-
Kiongozi wa upinzani Senegal ahukumiwa kifungo cha miaka 5 jela
Mar 30, 2018 15:00Mahakama moja nchini Senegal imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela Khalifa Sall, kiongozi mashuhuri wa upinzani nchini humo baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya ufisadi iliyokuwa ikimkabili.
-
Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika waandamana Italia kupinga ubaguzi wa rangi nchini humo
Mar 11, 2018 07:17Maelfu ya wahajiri wa Kiafrika pamoja na raia wengi wa Italia wameandamana katika mji wa Florence kaskazini mwa Italia kupinga vitendo vya ubaguzi wa rangi nchini humo.
-
Mkutano wa Senegal wahimiza kushirikishwa Waislamu wote katika masuala ya Hija
Feb 26, 2018 07:29Mkutano wa kimataifa wa Senegal umehimiza kushirikishwa nchi zote za Kiislamu katika usimamiaji wa amali ya Hija.
-
Senegal yapongeza uungaji mkono wa Iran kwa Waislamu duniani
Jan 27, 2018 07:55Balozi wa Senegal nchini Iran amepongeza uungaji mkono na mchango wa Jamhuri ya Kiislamu kwa Waislamu kote duniani.
-
Rais wa Iran alaani matamshi ya Rais wa Marekani dhidi ya watu wa Afrika
Jan 16, 2018 14:33Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali maneno ya matusi ambayo Rais Donald Trump wa Marekani aliyatumia dhidi ya mataifa ya Afrika.
-
Jeshi: Vijana 13 wauawa kwa kufyatuliwa risasi kusini mwa Senegal
Jan 07, 2018 07:56Jeshi la Senegal limetangaza habari ya kuuawa vijana 13 kwa kufyatuliwa risasi na genge la wabeba silaha, kusini mwa nchi.