-
Senegal yasisitiza kuunga mkono kikosi cha pamoja cha nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika
Oct 14, 2017 15:26Rais Macky Sall wa Senegal amesisitiza juu ya msimamo wa nchi yake wa kuunga mkono kikosi cha pamoja cha nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika.
-
Gambia na Senegal kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
Aug 23, 2017 04:20Mawaziri wa Mambo ya Ndani wa nchi za Senegal na Gambia wametilia mkazo umuhimu wa kushirikiana nchi zao katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Senegal yapuuza ushawishi wa Saudia, sasa kumrejesha balozi wake nchini Qatar
Aug 22, 2017 08:13Serikali ya Senegal imetangaza kuwa, itamrejesha balozi wake ambaye awali ilimwita nyumbani baada ya kuanza mgogoro kati ya nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi na Qatar.
-
Rais Rouhani: Iran ina hamu ya kustawisha zaidi uhusiano na nchi za Afrika
Aug 07, 2017 16:41Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumza kwa nyakati tofauti na Rais wa Zimbabwe na Waziri wa Utamaduni na Mawasiliano wa Senegal walioko hapa mjini Tehran na kusisitiza kuwa Tehran inataka kuimarisha zaidi ushirikiano wake na nchi hizo mbili za Afrika.
-
Ushindi wa chama tawala nchini Senegal katika uchaguzi wa Bunge
Aug 01, 2017 13:20Chama tawala nchini Senegal kimejipatia ushindi katika uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumapili iliyopita na hivyo kudhibiti wingi wa viti katika Bunge la nchi hiyo.
-
Wachambuzi: Uchaguzi wa Bunge Senegal uligubikwa na vurugu
Jul 31, 2017 07:18Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Senegal amesema kuwa, uchaguzi wa Bunge uliofanyika jana nchini humo uliandamana na mapungufu na matatizo mbalimbali.
-
Uchaguzi wa Bunge Senegal unafanyika kesho Jumapili huku mivutano ya kisiasa ikiongezeka
Jul 29, 2017 13:26Wananchi wa Senegal waliotimiza masharti ya kupiga kura kesho wataelekea katika masanduku ya kupigia kura kwa ajili ya kuwachagua wawakilishi wao wa Bunge.
-
Senegal yaonya kuhusu hatari za kupinduliwa serikali ya Gambia
Jul 06, 2017 07:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Senegal ameonya kuwa ukosefu wa utulivu na machafuko yanatishia uwepo wa serikali mpya ya Gambia.
-
Moto waua na kujeruhi watu 109 katika Ijitimai ya Waislamu wa Kisufi, Senegal
Apr 13, 2017 16:58Watu wasiopungua 22 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 80 wamejeruhiwa katika ajali ya moto iliyotokea kwenye Ijitimai ya Waislamu wa Kisufi wa tariqa ya Tijaniyyah nchini Senegal.
-
Maelfu waandamana kumpinga rais wa Senegal
Apr 08, 2017 07:52Maelfu ya watu wameandamana mjini Dakar, Senegal kupinga siasa za Rais Macky Sall wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.