-
Jumanne, 04 Aprili, 2017
Apr 04, 2017 09:09Leo ni Jumanne tarehe 6 Rajab 1438 Hijria sawa na Aprili 4, 2017.
-
Rais wa Gambia arejea Senegal, afanya mazunguzo na Macky Sall
Mar 03, 2017 06:35Rais Adama Barrow wa Senegal yuko nchini Senegal katika ziara rasmi ya kikazi iliyoanza jana Alkhamisi.
-
Wahajiri haramu raia wa Senegal, waliokuwa wanaelekea Ulaya, warejeshwa makwao
Feb 17, 2017 04:05Wahajiri haramu 170 raia wa Senegal waliokuwa wamekusudia kuelea barani Ulaya na waliokuwa wamehifadhiwa katika kambi maalumu mjini Tripol, Libya wamerejeshwa makwao.
-
Mgogoro wa Gambia waingia awamu mpya, Nigeria yatuma majeshi kukabiliana na Jammeh
Jan 19, 2017 05:21Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limetuma askari 200 na ndege kadhaa za kivita katika nchi jirani na Gambia ya Senegal kwa ajili ya kutatua mgogorowa uongozi uliosababishwa na uchaguzi wa rais nchini Gambia.
-
Mtoto wa Rais mteule wa Gambia afariki kwa kushambuliwa na mbwa
Jan 17, 2017 07:27Mtoto wa kiume wa Rais-mteule wa Gambia mwenye umri wa miaka minane amefariki dunia kwa kushambuliwa na mbwa katika mazingira ya kutatanisha, wakati huu ambapo baba yake yuko nchini Senegal.
-
Jamii ya kimataifa yapongeza msimamo wa Senegal dhidi ya Israel
Jan 03, 2017 13:46Jamii ya kimataifa imeipongeza Senegal kwa kuunga mkono azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Uwezekano wa Jammeh kuondolewa kwenye kiti cha urais kwa nguvu za kijeshi
Dec 17, 2016 07:17Rais wa Senegal amesema kuna uwezekano rais wa Gambia kuondolewa kwa nguvu za jeshi katika kiti cha urais baada ya kukataa kukubali kushindwa katika uchaguzi.
-
Ndege ya Rais wa Liberia yazuiwa kutua Gambia, Yahya Jammeh apinga matokeo
Dec 10, 2016 15:28Mamlaka za Gambia zimetangaza kuizuia kutua nchini humo ndege ya Rais Ellen Sirleaf Johnson ambaye pia ni Mwenyekiti wa hivi sasa wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Magharibi mwa Afrika ECOWAS.
-
Rais wa Senegal asisitiza kutokomezwa ugaidi barani Afrika
Dec 07, 2016 03:57Rais Macky Sall wa Senegal amesisitizia ulazima wa kung'olewa na kutokomezwa mizizi ya ugaidi katika nchi zote za Afrika.
-
Kongamano la Kimataifa la Amani na Usalama Afrika laanza Dakar
Dec 05, 2016 15:29Kongamano la Tatu la Kimataifa Kuhusu Amani na Usalama Barani Afrika limenza leo mjini Dakar huko Senegal.