-
Senegal yautaka Umoja wa Mataifa kulisaidia jeshi la kulinda amani la AU
Nov 20, 2016 04:05Serikali ya Senegal imeutaka Umoja wa Mataifa kuusaidia kifedha Umoja wa Afrika katika kutekeleza majukumu na operesheni zake za kulinda amani.
-
Mbio za kumrithi Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU zashika kasi
Oct 15, 2016 08:22Kinyang'anyiro cha kuwania uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika kimeendelea kupamba moto huku Chad ikimteua Moussa Faki Mahamat, Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo kuwania nafasi hiyo.
-
Rais wa Senegal awaachilia huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa Idi
Sep 12, 2016 15:50Duru za habari nchini Senegal zimeripotia kuachiliwa huru mamia ya wafungwa kwa mnasaba wa sherehe za Idul-Adh'ha.
-
Wanafunzi wa sekondari Senegal wakamatwa kwa 'ugaidi'
Jul 20, 2016 07:39Polisi ya Senegal inawazuilia wanafunzi wanne wa shule moja ya upili kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya kigaidi.
-
Rais Sally: Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi
Jul 17, 2016 08:06Rais wa Senegal amesema kuwa Waislamu ni wahanga wakubwa wa ugaidi duniani.
-
Viongozi wa Wakristo Senegal watunukiwa zawadi ya Qur’ani Tukufu
Apr 06, 2016 02:54Mwakilishi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa (SAW) nchini Senegal amekutana na viongozi wa Wakristo nchini humo na kuwakabidhi zawadi ya nakala ya Qur’ani iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kifaransa.