-
Sheikh Zakzkay: Muqawama umezaliwa upya nchini Lebanon
Feb 24, 2025 03:06Kiongozi wa Waislamu wa madhebeu ya Shia nchini Nigeria amesisitiza kuwa, kushiriki mamilioni ya watu katika mazishi ya Mashahidi wa Muqawama ni sawa na "kuzaliwa upya Muqawama wa Lebanon".
-
Zakzaky: Mauaji ya halaiki ya Gaza yanaonesha udhaifu wa Israel
Oct 20, 2023 02:58Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema mauaji makubwa ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yameonyesha kuwa utawala wa Kizayuni wa Israel una udhaifu mkubwa.
-
Zakzaky akiwa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yataleta mabadiliko duniani
Oct 11, 2023 12:09Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema anatumai Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yataleta mabadiliko na mageuzi katika kona zote za dunia.
-
Zakzaky: US, Ufaransa zinataka kuibua uhasama baina ya Nigeria na Niger
Aug 19, 2023 10:30Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
-
Harakati ya Kiislamu Nigeria: Shekh Zakzaky agawa misaada ya chakula kwa wahitaji
Apr 03, 2023 03:21Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa imegawa vifurushi mbaimbali bidhaa za chakula kwa watu wanohitajia nchini humo.
-
Matokeo ya mashambulizi dhidi ya wafuasi wa Sheikh Zakzaky nchini Nigeria
Mar 20, 2023 02:17Mashinikizo dhidi ya Waislamu wa Nigeria na wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky bado yanaendelea. Kuhusiana na hilo, vikosi vya usalama katika jimbo la Kaduna vimewaua watu wasiopungua 6 katika shambulio dhidi ya wafuasi wa Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
-
Wanigeria waandamana kutaka Zakzaky apewe paspoti yake
Apr 12, 2022 10:27Wananchi wa Nigeria wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kuishinikiza serikali ya nchi hiyo impe Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo pasipoti yake ya kusafiria iliyotwaa.
-
Sheikh Zakzaky awataka walimwengu wakabiliane na mashambulio ya Saudia dhidi ya Yemern
Feb 06, 2022 04:42Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
-
Sheikh Zakzaky: Kamanda Soleimani alikuwa mwanastratejia aliyezima njama za maadui Syria na Iraq
Jan 04, 2022 02:52Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesema, njia ya Muqawama, in shaa Allah itakamilika kwa kudhihiri Imam wa Zama (Allah Aharakishe Kudhihiri Kwake).
-
Waislamu wa Nigeria waadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria
Dec 13, 2021 08:19Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Nigeria wameadhimisha kumbukumbu ya mwaka wa sita tangu yalipotokea mauaji ya kinyama yaliyofanywa na vyombo vya usalama vya Nigeria dhidi ya Waislamu katika mji wa Zaria