-
Sheikh Zakzaky aadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya Zaria
Dec 05, 2021 14:34Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amewaongoza Waislamu wa Nigeria katika maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.
-
Sheikh Zakzaky: Vita vya kiitikadi vya maadui wa Uislamu dhidi ya Waislamu vimegonga mwamba
Oct 07, 2021 04:37Kiongozi wa Waislamu wa Nigeria amesisitiza kuwa, vita vya kiitikadi vya maadui wa Uislamu dhidi ya Waislamu vimegonga mwamba.
-
Sheikh Zakzaky: Matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea Nigeria
Sep 30, 2021 06:28Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amesisitiza kuwa, matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS yataendelea kufanyika nchini Nigeria hadi atakapodhihiri Imam wa Zama, Imam Mahdi AS.
-
Tuhuma mpya za Mwendesha Mashtaka dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky
Aug 04, 2021 00:54Mwendesha Mashataka wa Jimbo la Kaduna nchini Nigeria ametoa tuhuma mpya dhidi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria ikiwa ni siku chache tu baada ya kutolewa hukumu ya kuachiliwa huru kiongozi huyo.
-
Hukumu ya kuachiliwa huru Sheikh Zakzaky na mkewe; ushindi kwa mrengo wa subira na mapambano
Jul 29, 2021 10:08Mahakama Kuu ya Jimbo la Kaduna nchini Nigeria Jumatano ilifutilia mbali tuhuma zote alizobambikiziwa Sheikh Ibrahim Zakzaky, Katibu Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria na mkewe, na kutoa amri ya kuachiliwa kwao mara moja.
-
Hujuma dhidi ya Harakati ya Kiislamu Nigeria zimewafanya mayatima watoto 1,800
Jul 25, 2021 11:26Jukwaa la Akademia la Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) limesema hatua ya vyombo vya usalama vya nchi hiyo kuhujumu na kushambulia shughuli za kidini za harakati hiyo imepelekea watoto karibu elfu mbili kuwa mayatima.
-
Kuakhirishwa kesi ya Sheikh Zakzaky na njama za mabeberu nchini Nigeria
Jul 03, 2021 10:52Mahakama ya Nigeria kwa mara nyingine tena imeakhirisha kikao cha kusikilizwa kesi ya kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky hadi tarehe 28 Julai licha ya Waislamu wa nchi hiyo kutaka mwanazuoni huyo aachiwe huru.
-
Wafuasi wa Sheikh Zakzaky wawaadhimisha mashahidi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria
Mar 08, 2021 07:43Wafuasi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) wamefanya hafla ya kuwaenzi mashahidi wa harakati hiyo.
-
Mchungaji wa Nigeria: Dhulma anazofanyiwa Sheikh Zakzaky ni dhulma dhidi ya ubinadamu
Feb 15, 2021 01:25Mchungaji mmoja wa Nigeria amewataka wananchi wote wa nchi hiyo kufanya jitihada za kuhakikisha Sheikh Ibrahim Zakzaky anaachiwa huruu na anaamini kuwa, dhulma inayofanywa dhidi ya mwanazuoni huyo wa Kiislamu ni dhulma dhidi ya wanadamu wote.
-
Kuakhirishwa kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky nchini Nigeria
Jan 29, 2021 02:04Katika hali ambayo Waislamu nchini Nigeria wameshiriki katika maandamano ya amani ya kutaka kuachiliwa huru Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, mwendesha mashtaka mkuu nchini humo ameakhirisha tena kesi ya kiongozi huyo wa harakati ya Kiislamu.