-
Siku ya Kimataifa ya Ukimwi
Dec 01, 2016 01:47Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni katika Makala ya Wiki ambayo juma hili inazungumzia Siku ya Kimataifa ya Ukimwi inayoadhimishwa kila mwaka tarehe Mosi Disemba.
-
WHO: Nusu ya wanaoishi na HIV kote duniani hawajapimwa
Dec 01, 2016 00:39Shirika la Afya Duniani WHO limesema karibu nusu ya watu wanaoishi na virusi vya HIV kote duniani hawana habari wala ufahamu kuwa wameambukizwa virusi hivyo hatari vinavyosababisha ugonjwa wa Ukimwi.
-
WHO: Hospitali 600 zimeshambuliwa miaka miwili iliyopita
May 27, 2016 02:38Ripoti mpya ya Shirika la Afya Duniani WHO imebaini kuwa mashambulizi takriban 600 yamelenga wauguzi ulimwenguni kote mwaka 2014 na 2015 na kusababisha vifo zaidi ya 900.
-
WHO: Malaria itaangamizwa kabisa Afrika hadi mwaka 2020
Apr 25, 2016 10:36Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kuna uwezekano ugonjwa wa malaria utaangamizwa kabisa ifikapo mwaka 2020.
-
Makumi waaga dunia kutokana na homa ya manjano DRC
Apr 13, 2016 02:38Mripuko wa homa ya manjano umesababisha vifo vya watu wasiopungua 21 katika Jamhuri ya Kidemorasia ya Kongo.
-
Tahadhari ya WHO kuhusu mgogoro wa maji duniani
Mar 19, 2016 23:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa ripoti kuhusu mgogoro wa maji na hatari ya kuchafuliwa kwa maji kote duniani.
-
WHO: Mripuko wa Zika utapanuka zaidi
Feb 25, 2016 04:34Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuwa, virusi vya Zika huenda vikasambaa zaidi katika siku za usoni kabla ya ugonjwa huo kupatiwa tiba na kudhibitiwa.