Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Shirika la Afya Duniani

  • WHO yatoa indhari kuhusu namna mataifa tajiri yanavyopambana na kirusi cha omicron

    WHO yatoa indhari kuhusu namna mataifa tajiri yanavyopambana na kirusi cha omicron

    Dec 23, 2021 04:18

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani WHO Tedros Adhanom ameonya kuwa hatua ya mataifa tajiri kuanza kutoa dozi ya tatu kwa raia wao, inaendeleza ubaguzi wa upatikanaji wa chanjo kwa mataifa masikini, hatua ambayo amesema haitasaidia kumaliza janga la Covid 19, hasa wakati huu kirusi cha omicron kinapoendelea kusambaa duniani.

  • Kikao cha dharura cha WHO kuchunguza spishi mpya ya corona

    Kikao cha dharura cha WHO kuchunguza spishi mpya ya corona

    Nov 26, 2021 07:07

    Kufuatia kugunduliwa spishi mpya ya corona kwa jina B.1.1.529 Shirika la Afya Duniani who limetangaza kuwa litaandaa kikao cha dharura leo Ijumaa kwa ajili ya kuchunguza spishi hiyo.

  • WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%

    WHO: Vifo vya COVID-19 vimeongezeka katika nchi za Afrika, eneo la Magharibi ni kwa 193%

    Aug 20, 2021 03:10

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, Afrika Magharibi imeorodhesha idadi kubwa zaidi ya vifo vya ugonjwa wa Covid-19 tangu janga hilo lilipoanza huku nchi kadhaa za ukanda huo zikiwa zinakabiliwa na miripuko mingine ya kipindupindu, ugonjwa wa Ebola na ugonjwa wa Virusi vya homa ya Marburg ambayo inatishia kuongeza shinikizo katika uwezo wa utoaji huduma katika ukanda huo.

  • WHO kufanyia majaribio dawa za malaria, baridi yabisi kama tiba ya COVID-19

    WHO kufanyia majaribio dawa za malaria, baridi yabisi kama tiba ya COVID-19

    Aug 12, 2021 03:43

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema litafanyia majaribio dawa za ugonjwa wa malaria na aina fulani za saratani ili kuona iwapo zinaweza kutibu ugonjwa wa COVID-19 au la.

  • WHO yakosoa nchi zinazowapiga watu 'dozi ya ziada' ya chanjo ya Corona

    WHO yakosoa nchi zinazowapiga watu 'dozi ya ziada' ya chanjo ya Corona

    Aug 04, 2021 22:02

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametoa mwito wa kusimamishwa kampeni inayoendelezwa na baadhi ya nchi hususan za Ulaya ya kuwapiga wananchi wao chanjo ya ziada ya kuzuia virusi vya Corona, katika hali ambayo mamilioni ya watu duniani hawajapigwa hata chanjo ya kwanza.

  • Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku

    Waafrika milioni 146 wanakufa kila mwaka kwa magonjwa yanayohusishwa na tumbaku

    Jun 19, 2021 00:42

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limefichua kuwa, watu wasiopungua milioni 146 wanafariki dunia kila mwaka kutokana na magonjwa yanayonasibishwa na matumizi ya tumbaku barani Afrika.

  • WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona

    WHO: Hatutailazimisha China itupe taarifa zaidi kuhusu chanzo cha Corona

    Jun 08, 2021 03:19

    Afisa wa ngazi ya juu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema taasisi hiyo ya kimataifa haitashurutisha China itoe data na taarifa zaidi juu ya chanzo cha virusi vya Corona.

  • WHO: Corona haitamalizika kabla ya asilimia 70 ya walimwengu kupewa chanjo

    WHO: Corona haitamalizika kabla ya asilimia 70 ya walimwengu kupewa chanjo

    May 29, 2021 02:38

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) kanda ya Ulaya amesema kuwa maambukizi ya virusi vya corona hayawezi kukomeshwa hadi pale asilimia 70 ya watu wote duniani watakapopata chanjo ya kukabiliana na virusi hivyo.

  • WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika

    WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika

    Oct 09, 2020 04:24

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetadharisha juu ya ongezeko la watu wanaokumbwa na matatizo ya kisaikolojia barani Afrika, kutokana na athari hasi za janga la corona.

  • WHO: Virusi vya corona vitaendelea kusumbua dunia kwa miaka miwili ijayo

    WHO: Virusi vya corona vitaendelea kusumbua dunia kwa miaka miwili ijayo

    Sep 11, 2020 07:33

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa virusi vya corona vitadhibitiwa miaka miwili ijayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS