-
WHO: Corona imezidisha idadi ya wenye kupatwa na matatizo za kiakili Afrika
Oct 09, 2020 04:24Shirika la Afya Duniani (WHO) limetadharisha juu ya ongezeko la watu wanaokumbwa na matatizo ya kisaikolojia barani Afrika, kutokana na athari hasi za janga la corona.
-
WHO: Virusi vya corona vitaendelea kusumbua dunia kwa miaka miwili ijayo
Sep 11, 2020 07:33Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa virusi vya corona vitadhibitiwa miaka miwili ijayo.
-
Baada ya vitisho, Marekani yatangaza tarehe ya kujiondoa WHO
Sep 04, 2020 02:40Miezi michache baada ya Marekani kuamua kulikatia misaada yote ya kifedha Shirika la Afya Duniani kwa madai kwamba linadhibitiwa na China, sasa utawala wa Donald Trump umeenda mbali zaidi ya kuainisha tarehe ya kujiondoa WHO.
-
WHO yatahadharisha kuhusu ufisadi katika ugavi wa vifaa vya tiba na kujikinga na corona
Aug 22, 2020 04:18Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ametahadharisha kuwa, ufisadi unaoonekana katika ugavi wa vifaa na zana za madaktari na wauguzi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 ni kielelezo cha uhalifu na jinai.
-
WHO: Covid-19 ni janga baya zaidi la afya linaloikabili dunia
Jul 28, 2020 00:13Maambukizi mapya ya virusi vya corona yaliyopelekea watu zaidi ya milioni 16 kuathiriwa na virusi hivyo ni janga baya zaidi la kiafya duniani kuwahi kulikumba Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Burundi yawatimua nchini humo maafisa wa WHO wakati huu wa corona
May 14, 2020 19:58Serikali ya Burundi imemfukuza nchini humo Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini humo na maafisa watatu wa timu yake waliokuwa wakifuatilia mwenendo wa mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) katika nchi hiyo.
-
WHO: Kulegezwa vizuizi vya watu kubaki majumbani kutaibua changamoto
May 13, 2020 09:02Wakati idadi ya watu waliougua ugonjwa COVID-19 unaosababishwa na virusi vya corona ikifikia zaidi ya milioni 4 duniani kote, Shirika la Afya Duniani, WHO limesema, hatua ya baadhi ya nchi kulegeza vizuizi vya watu kubakia majumbani imeonesha baadhi ya changamoto zitakazoyakabili mataifa siku za usoni.
-
China yaipa WHO dola milioni 50 baada ya US kulikatia misaada shirika hilo la UN
Apr 23, 2020 22:02China imeliongeza Shirika la Afya Duniani (WHO) msaada wa dola milioni 30 za Marekani za kudhibiti mlipuko wa maambukizi ya virusi vya Corona duniani, siku chache baada ya Marekani kuikatia misaada taasisi hiyo ya Umoja wa Mataifa.
-
Hatua ya Marekani ya kusitisha mchango wake wa kifedha kwa Shirika la Afya Duniani
Apr 15, 2020 08:22Rais Donald Trump wa Marekani ametelekeza kivitendo tishio lake la kusitisha mchango wa kifedha ya nchi hiyo kwa shirika la Afya Duniani (WHO). Trump amedai kuwa, WHO imefeli katika kutekeleza majukumu yake.
-
UN yakerwa na hatua ya Trump kuikatia ufadhili WHO wakati huu wa Corona
Apr 15, 2020 03:44Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesisitizia udharura wa kuungwa mkono Shirika la Afya Duniani (WHO), muda mfupi baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza kuwa nchi hiyo imelikatia misaada yake ya kifedha shirika hilo.