-
Tahadhari ya WHO kuhusu kasi ya kuongezeka virusi vya corona
Mar 24, 2020 03:41Shirika la Afya Duniani WHO limetoa tahadhari kuhusiana na kasi kubwa ya kuenea virusi vya corona duniani.
-
Kuendelea vikwazo vya Marekani na mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya mfumo wa tiba wa Iran
Mar 20, 2020 08:18Katika siku za hivi karibuni Marekani imeendelea mtawalia kuiwekea vikwazo vipya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Corona; Shirika la Afya Duniani lapongeza elimu ya kitiba nchini Iran
Mar 06, 2020 22:57Kirusi cha COVID-19 maarufu kama Corona hakijui mipaka na kimeenea kote duniani na kwa msingi huo mbali na jitihada za kitaifa, kuna jitihada za kimataifa za kukabiliana na ugonjwa huu kupitia kubadilishana uzoefu wa madaktari na Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
WHO yazitaka nchi zote kuzidisha jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona
Mar 06, 2020 04:21Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka nchi zote duniani kuzidisha juhudi za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
-
Uvutaji sigara huongeza masaibu baada ya upasuaji
Jan 21, 2020 21:34Wavutaji wa sigara au bidhaa za tumbaku wako katika hatari kubwa ya kupata masaibu na matatizo zaidi baada ya kufanyiwa upasuaji kuliko wasiovuta bidhaa hizo.
-
WHO: Watu milioni 50 wanakabiliwa na matatizo ya kisaikolojia Nigeria
Dec 15, 2019 04:15Shirika la Afya Duniani WHO) limesema mamilioni ya wananchi wa Nigeria wanakabiliwa na tatizo moja au jingine la kiakili.
-
WHO: Malaria ingali tishio, yaua mtoto mmoja katika kila dakika 2
Dec 04, 2019 03:42Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema ugonjwa wa malaria ungali tishio kubwa linalowaathiri mamilioni ya watu kila mwaka kote duniani hususan katika nchi za Afrika.
-
Homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39
Nov 12, 2019 04:30Taasisi za afya duniani zimeripoti kuwa, homa ya mapafu (pneumonia) inaua mtoto mmoja katika kila sekunde 39, na kwamba ugonjwa huo uliua watoto laki nane mwaka jana pekee.
-
Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki
Oct 16, 2019 03:53Hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na fedheha kubwa zaidi kwa nchi hiyo ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula.
-
WHO: Nchi za dunia ziige Iran katika kutoa huduma za afya
Oct 14, 2019 04:25Shirika la Afya Duniani WHO limeziasa nchi nyingine duniani kuwa na mfumo mzuri wa tiba na huduma za afya kama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.