-
Tehran ni mwenyeji wa mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Nchi za Eneo la Mediterania Mashariki
Oct 16, 2019 03:53Hatua ya Marekani kujiondoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA ni fedheha kwa Marekani na fedheha kubwa zaidi kwa nchi hiyo ni kuwawekea watu wa Iran vikwazo vya dawa na chakula.
-
WHO: Nchi za dunia ziige Iran katika kutoa huduma za afya
Oct 14, 2019 04:25Shirika la Afya Duniani WHO limeziasa nchi nyingine duniani kuwa na mfumo mzuri wa tiba na huduma za afya kama wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
WHO yatoa wito wa kupambana na ugonjwa wa malaria
Aug 23, 2019 07:10Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito kwa walimwengu kuwekeza zaidi katika mapambano dhidi ya malaria na kuutokomeza kikamilifu ugonjwa huo ambao kila mwaka huua watu laki nne.
-
WHO yazitaka nchi zote kupiga marufuku matangazo ya sigara
Aug 16, 2019 09:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito wa kupigwa marufuku matangazo ya sigara katika matukio mbalimbali ya kimataifa.
-
WHO yatangaza Ebola kuwa 'dharura ya kiafya duniani'
Jul 18, 2019 22:04Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuwa ni ''dharura ya kiafya inayohitaji jumuia ya kimataifa kuitazama''.
-
Ripoti ya WHO kuhusu hali ya kiakili ya waathirika wa vita
Jun 12, 2019 03:20Matokeo ya utafiti uliofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) unaonyesha kuwa moja ya tano ya watu wanaoishi katika maeneo yaliyoathiriwa na vita wanaugua maradhi ya kiakili.
-
WHO: Matumizi ya tumbaku yanaua watu milioni 8 kila mwaka duniani
May 30, 2019 21:59Shirika la Afya Duniani WHO limesema watu zaidi ya milioni nane wanafariki dunia kila mwaka kutokana na matumizi ya tumbaku kote duniani, kutoka milioni saba mwaka 2017.
-
WHO kutangaza karibuni kuwa Afrika imetokomeza ugonjwa wa Polio
May 29, 2019 03:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa huenda likatangaza karibuni hivi kuwa bara Afrika halina tena ugonjwa wa kupooza wa Polio.
-
WHO: Idadi ya waliouawa katika mapigano ya Tripoli, Libya yapindukia watu 200
Apr 18, 2019 08:55Shirika la Afya Duniani WHO limesema kuwa, idadi ya watu waliopoteza maisha katika mashambulizi ya vikosi vya Jenerali Khalifa Haftar vya kutaka kuudhibiti mji mkuu wa Libya, Tripoli imeongezeka na kufikia watu 205.
-
Ebola yaendelea kuua DRC, WHO kuitangaza hatari ya kimataifa
Apr 12, 2019 20:47Wataalamu wa afya wa Shirika la Afya Duniani WHO wanafanya tathmini kubaini iwapo mripuko wa sasa wa ugonjwa wa Ebola ambao umeua mamia ya watu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo unapaswa kutangazwa kuwa hatari ya kimataifa au la.