-
Ugonjwa wa TB waua watu 4,500 kila siku, WHO yaazimia kuutokomoeza
Mar 21, 2019 04:30Ugonjwa wa kifua kikuu au TB huua watu 4,500 kila siku duniani na Shirika la Afya Duniani WHO, limeazimia kutokomeza ugonjwa huo sugu.
-
WHO: Saudia imekiuka sheria za kimataifa kwa kuwaua raia wa Yemen
Aug 24, 2018 09:13Shirika la Afya Duniani WHO limesema mauaji ya raia wakiwemo watoto yaliyofanywa na ndege za kivita za Saudia katika eneo la Ad Durayhimi nchini Yemen ni sawa na shambulizi la mji wa Dahyan, huko Saada.
-
WHO yachukua hatua za kudhibiti kirusi cha Ebola Kongo DR
Aug 02, 2018 03:36Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa limechukua hatua za kukabiliana na kuenea kirusi cha ugonjwa wa ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
WHO: Ebola inatishia maisha ya watu Congo DR
Jun 13, 2018 11:06Shirika la Afya Dunia (WHO) limetahadharisha kuhusu maambukizi ya ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
WHO yatahadharisha juu ya kuibuka tena ugonjwa wa Ebola huko DRC
May 11, 2018 23:47Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kuibuka tena ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
WHO: New Delhi ndio mji wenye hewa chafu zaidi duniani
May 02, 2018 03:25Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza katika ripoti yake mpya kuhusu kiwango cha usafi wa hewa katika miji mikubwa duniani na kuutaja mji mkuu wa India New Delhi kuwa ndio wenye hewa chafu zaidi duniani.
-
WHO: Uzeofu wa Iran katika kupambana na Malaria unapaswa kuigwa na nchi nyingine
Apr 29, 2018 22:10Mkuu wa Mpango wa Kimataifa wa Kupambana na Malaria (The Global Malaria Programme) ambao uko chini ya Shirika la Afya Duniani WHO amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio mazuri katika kupambana na ugonjwa wa Malaria na kwamba mafanikio hayo ni kigezo kizuri cha kuigwa na nchi nyingine duniani.
-
WHO yatahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa wa Listeriosis barani Afrika
Mar 21, 2018 03:59Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu hatari ya ugonjwa unaoenea katika nchi kadhaa za Afrika wa Listeriosis unaosababishwa na utumiaji wa bidhaa za nyama.
-
Tahadhari yatolewa kuhusu kuenea ugonjwa wa malaria barani Afrika
Jan 27, 2018 01:04Viongozi wa Umoja wa Afrika na wa Shirika la Afya Duniani WHO wametahadharisha kuhusiana na uwezekano wa kuenea na kusambaa zaidi ugonjwa wa malaria barani Afrika.
-
WHO yaonya kuhusu unene miongoni mwa watoto duniani
Oct 12, 2017 03:02Shirika la Afya Duniani, WHO, limeonya kuhusu idadi ya watoto na vijana barubaru walio na tatizo la unene au utipwatipwa duniani.