-
WHO yatahadharisha kuhusu hali iliyopo katika kambi za Waislamu wa Myanmar
Sep 25, 2017 11:01Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu katika kambi za wakimbizi huko Bangladesh unaotishia maisha ya Waislamu wa Rohingya wa Myanmar wapatao 436,000.
-
WHO yatoa indhari baada ya Wayemeni nusu milioni kukumbwa na kipindupindu
Aug 14, 2017 22:00Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza kuwa kutokana na kuendelea hujuma na mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia nchini Yemen, zaidi ya watu laki tano na elfu tatu wamekumbwa na ugonjwa wa kipindupindu nchini humo huku wagonjwa 1,975 wakiwa tayari wameaga dunia kuanzia mwezi Aprili mwaka huu hadi sasa kutokana na ugonjwa huo.
-
Mlipuko wa polio waripotiwa Kongo DR, mikoa 2 yaathiriwa
Jun 14, 2017 03:40Shirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya mlipuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
WHO: Watu bilioni 2 duniani wanakunywa maji machafu
Apr 13, 2017 02:58Shirika la Afya Duniani limesema watu bilioni 2 kote duniani wanatumia maji machafu na kusisitiza kwamba kuna haja ya kufanyika juhudi za makusudi kuhakikisha kuwa kila mtu anapata maji safi ya kunywa na anaishi katika mazingira safi yenye mifumo ya kuondoa majitaka.
-
WHO: Wasomali zaidi ya milioni moja wanakabiliwa na hatari ya kifo
Mar 01, 2017 00:26Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu uzima na maisha ya zaidi ya Wasomali milioni moja wanaosumbuliwa na baa la njaa.
-
WHO yawataka walimwengu wazidishe mapambano dhidi ya sigara
Jan 11, 2017 10:35Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa mapambano dhidi ya sigara yanaweza kuokoa mabilioni ya fedha mbali na kuokoa maisha ya mamilioni ya wanadamu.
-
Sayansi na Teknolojia
Jan 04, 2017 04:07Karibuni katika mjumuiko huu mpya wa vipindi ambavyo vinaangazia maendeleo mapya katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba duniani na hasa nchini Iran. Karibuni kujiunga nasi ambapo leo tutaangazia mafanikio ya wanasayansi wa Iran katika kutengeneza chombo cha kutibu magonjwa ya ubongo kama vile Parkinson kati ya mengine. Karibu kujiunga nami hadi mwisho.
-
WHO yatoa indhari: Hali ya kiafya ya Yemen ni mbaya sana
Jan 01, 2017 13:05Shirika la Afya Duniani (WHO) limeripoti kuwa hali ya kiafya nchini Yemen ni mbaya sana na kubainisha kuwa tangu vilipoanza vita vya Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo hadi mwezi Novemba mwaka jana, zaidi ya watu 7,300 wameuawa na wengine ya 39,000 wamejeruhiwa.
-
WHO: Chanjo ya Ebola yatoa ulinzi wa asiilimia 100
Dec 23, 2016 03:31Utafiti uliochapishwa katika jarida la Lancet umeonyesha kuwa chanjo ya majaribio ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Ebola kwa jina la rVSV-ZEBOV inaonekana kuwa na athari kwa asilimia 100.
-
WHO: Boko Haram imeharibu vituo vya Afya kaskazini mwa Nigeria
Dec 16, 2016 01:19Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, kundi la kigaidi la Boko Haram limeharibu sehemu kubwa ya vituo vya afya katika eneo la kaskazini mwa Nigeria.