-
China yapinga vitisho vya Marekani na vikwazo haramu dhidi ya nchi zinazofanya biashara na Iran
Aug 26, 2026 03:27China imepinga vitisho vya Marekani vya kuziwekea vikwazo nchi zinazofanya biashara na Iran, ikisema kuwa ushirikiano wa Beijing na Tehran unafanyika kwa mujibu wa sheria za kimataifa na haupaswi kuvurugwa.
-
Jumanne, 15 Aprili, 2025
Apr 14, 2025 22:45Leo ni Jumanne tarehe 16 Mfunguo Mosi Shawwal 1446 Hijria sawa na tarehe 15 Aprili mwaka 2025.
-
Shirika la Ujasusi la Russia: NATO inapanga kumuondoa madarakani rais wa Ukraine, Zelensky
Feb 04, 2025 06:58Shirika la kijeshi la NATO linafikiria kufanikisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky kwa 'kumchafua' kabla ya uchaguzi ujao utakaofanyika mwakani. Hayo yameelezwa katika ripoti iliyotolewa na Shirika la Ujasusi la Russia la Nje ya Nchi (SVR).
-
Jumatatu, 15 Aprili, 2024
Apr 14, 2024 23:04Leo ni Jumatatu tarehe 6 Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 15 Aprili mwaka 2024.
-
Jumamosi, 15 Aprili, 2023
Apr 14, 2023 23:12Leo ni Jumamosi tarehe 24 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1444 Hijria mwafaka na tarehe 15 Aprili 2023 Miladia.
-
Ijumaa tarehe 15 Aprili 2022
Apr 14, 2022 21:52Leo ni ijumaa tarehe 13 mwezi mtukufu wa Ramadhani 1443 Hijria inayosadifiana na tarehe 15 Aprili 2022.
-
Afrika Kusini: 'Tunaadhibiwa' kwa kugundua spishi mpya ya corona ya Omicron
Nov 27, 2021 09:36Afrika Kusini imesema, inahisi "inaadhibiwa" kwa kugundua spishi mpya ya kirusi cha corona aina ya Omicron kutokana na marufuku mbalimbali zilizowekwa zikiwemo za kuzuia wasafiri kutoka nchi za kusini mwa Afrika kuelekea mataifa mengine ya dunia.
-
WTO yatoa wito wa kutumwa chanjo ya corona kwenye nchi maskini
Apr 26, 2021 23:51Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) amezishukuru baadhi ya nchi kama India na China kwa kuziuzia nchi nyingine chanjo ya virosi vya corona na kuzitaka Marekani na Uingereza kufuata nyayo na kupeleka chanjo hiyo kwenye nchi maskini.
-
Indhari ya WTO ya kutokea mgogoro mkubwa zaidi wa kiuchumi katika historia ya mwanadamu
Apr 09, 2020 22:02Mlipuko wa virusi vya Corona na maradhi ya Covid-19 kwa sasa umeenea karibu katika mataifa yote ya ulimwengu.
-
Jumatatu, Aprili 15, 2019
Apr 14, 2019 21:48Leo ni Jumatatu tarehe 9 Sha'aban 1440 Hijiria, sawa na tarehe 15 April 2019 Miladia.