Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Shirika la Msamaha Duniani

  • Utulivu wa kiasi fulani warejea Sudan Kusini

    Utulivu wa kiasi fulani warejea Sudan Kusini

    Jul 20, 2016 16:10

    Duru za habari zimearifu kuwa hali ya utulivu wa kiasi fulani imerejea huko Sudan Kusini kufuatia uamuzi uliochukuliwa na Umoja wa Afrika wa kutuma wanajeshi wa kulinda amani nchini humo.

  • Amnesty yaeleza wasiwasi kutokana na kukamatwa waandamanaji Marekani

    Amnesty yaeleza wasiwasi kutokana na kukamatwa waandamanaji Marekani

    Jul 11, 2016 16:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasiwasi wake mkubwa kutokana na kukamatwa waandamanaji wanopinga ukatili wa polisi nchini Marekani.

  • Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Hali ya haki za binadamu Burundi yajadiliwa katika Baraza la Haki za Binadamu

    Jun 30, 2016 03:28

    Hali ya haki za binadamu nchini Burundi imejadiliwa katika kikao cha Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.

  • AI: Myanmar inapaswa kuchunguza mashambulizi ya msikiti

    AI: Myanmar inapaswa kuchunguza mashambulizi ya msikiti

    Jun 25, 2016 14:36

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeyataja mashambulizi yaliyofanywa na Mabudha wenye misimamo mikali wa Myanmar dhidi ya msikiti kuwa ni jinai na kusisitiza kuwa, machafuko mapya yanayolenga Waislamu nchini humo yanapaswa kufuatiliwa na wahusika wake kuadhibiwa.

  • Amnesty International: Serikali ya Jamhuri ya Kongo imeshambulia na kuua watu katika maeneo ya raia

    Amnesty International: Serikali ya Jamhuri ya Kongo imeshambulia na kuua watu katika maeneo ya raia

    Apr 18, 2016 14:34

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema, serikali ya Jamhuri ya Kongo ilishambulia kwa makusudi maeneo ya raia kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 30.

  • AI: Qatar inawatumia vibaya wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vya Kombe la Dunia 2022

    AI: Qatar inawatumia vibaya wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vya Kombe la Dunia 2022

    Mar 31, 2016 08:06

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International kwa mara nyingine tena limezituhumu Qatar na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kupuuza utumiwaji mbaya wa wafanyakazi katika ujenzi wa viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2022 huko nchini Qatar.

  • Ripoti ya Amnesty International kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    Ripoti ya Amnesty International kuhusu ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu duniani

    Feb 25, 2016 06:59

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International (AI) limetahadharisha juu ya uwezekano wa kutoweka matunda yote ya miaka 70 iliyopita katika uwanja wa haki za binadamu duniani.

Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS