-
AMISOM yakiri askari wa Uganda wameua raia nchini Somalia
Aug 22, 2021 23:02Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) limekiri kuwa askari wa Jeshi la Ulinzi la Uganda (UPDF) wanaofanya kazi chini ya mwavuli wa kikosi hicho wameua raia wasio na hatia kusini mwa Somalia.
-
Kwa akali watu 15 wauawa katika milipuko miwili ya mabomu nchini Somalia
Aug 11, 2021 03:11Kwa akali watu 15 wanaripotiwa kuuawa nchini Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi la milipuko miwili ya mabomu katika eneo moja katikati mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Somalia lamkamata kamanda mkuu wa al-Shabaab
Jul 26, 2021 07:57Jeshi la Taifa la Somalia limetangaza habari ya kumtia mbaroni kiongozi wa ngazi ya juu wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab kusini mwa nchi hiyo.
-
Ilhan Omar ataka ufafanuzi wa Biden juu ya shambulio la anga Somalia
Jul 24, 2021 20:50Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kwa tiketi ya chama cha Democratic amemuandikia barua Rais Joe Biden wa nchi hiyo, akitaka ufafanuzi na maelezo kuhusu shambulio la kwanza la anga lililofanywa na utawala wake nchini Somalia.
-
Magaidi 50 wa kundi la al-Shabab Somalia waangamizwa na jeshi
Jul 21, 2021 07:36Jeshi la Somalia limetangaza kuwa, magaidi wasiopungua 50 wa kundi la al-Shabab wameangamizwa kufuatia shambulio la anga dhidi ya ngome zao katikati mwa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Shambulio la kigaidi laua na kujeruhi watu 13 katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu
Jul 10, 2021 07:19Watu 13 wameuawa na kujeruhiwa baada ya gari lililotegwa bomu kuripuka katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Watu 10 wauawa baada ya gaidi kujiripua Mogadishu, Somalia
Jul 03, 2021 08:10Kwa akali watu kumi wameuawa baada ya gaidi aliyekuwa amejifunga mabomu kujiripua katika mkahawa mmoja wenye shughuli nyingi kwenye makutano ya barabara ya Jubba, katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Alkhamisi tarehe Mosi Julai 2021
Jun 30, 2021 21:54Leo ni Alkhamisi tarehe 20 Dhulqaada 1442 Hijria sawa na tarehe Mosi Julai 2021.
-
Somalia yatangaza tarehe ya uchaguzi wa rais
Jun 30, 2021 06:32Baada ya kushuhudiwa miezi kadhaa ya mkwamo wa kisiasa nchini Somalia, hatimaye viongozi wa nchi hiyo ya Pembe ya Afrika wameafikiana kuhusu tarehe ya kufanyika uchaguzi usio wa moja kwa moja wa rais.
-
Biden atafakari kuvirejesha vikosi vya Marekani nchini Somalia
Jun 17, 2021 03:04Rais wa Marekani, Joe Biden anatafakari kuwarejesha wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia, eti kwenda kusaidia juhudi za kupambana na magaidi wa kundi la ukufurishaji la al-Shabaab.