-
Makurutu 15 wa kijeshi wauawa katika shambulio la kigaidi, Somalia
Jun 15, 2021 22:05Kwa akali makurutu 15 wameuawa katika shambulio linaloaminika kuwa la kigaidi katika kambi moja ya mafunzo ya kijeshi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
-
UN yawawekea vikwazo vinara wa kundi la kigaidi la Al Shabab
Jun 15, 2021 03:12Vinara watatu wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab wameingizwa katika orodha ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa ili kusaidia serikali ya Somalia kupambana na kundi hilo.
-
Baada ya US kuondoa askari wake Somalia, sasa yawatuma Kenya
Jun 13, 2021 22:02Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa serikali yake itatuma vikosi maalumu vya wanajeshi nchini Kenya, eti kwenda kusaidia juhudi za kupambana na magaidi wa kundi la ukufurishaji la al-Shabaab.
-
Jeshi la Somalia laendelea kutoa kipigo kwa magaidi wa al-Shabaab
Jun 12, 2021 08:05Kundi la kigaidi la al-Shabaab limeendelea kuandamwa na wimbi la vipigo kutoka kwa Jeshi la Taifa la Somalia (SNA), ambalo linatazamiwa kutwikwa jukumu la ulinzi na usalama wa nchi baada ya kumalizika muda wa Mpango wa Mpito wa Somalia (STP).
-
Kenya yairuhusu tena Somalia itumie anga yake
Jun 11, 2021 08:09Kenya imetoa idhini tena anga yake itumike kwa aili ya safari za ndege kwenda na kutoka Somalia huku kukiwa na matumaini kwamba, uhusiano wa nchi hizo mbili utarejea katika hali ya kawaida.
-
UN: Wanajeshi wa Kisomali wamehusika na mauaji ya kimbari ya Tigray
Jun 09, 2021 03:47Wanajeshi wa Somalia wanaopata mafunzo ya kijeshi nchini Eritrea wanatuhumiwa kuhusika na mauaji ya maelfu ya watu katika eneo la Tigray, huko kaskazini mwa Ethiopia.
-
Jeshi la Somalia laangamiza magaidi 130 wa al-Shabaab
Jun 07, 2021 22:20Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) limetangaza habari ya kufanikiwa kuua wanachama wasiopungua 130 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katika kipindi cha wiki tatu zilizopita.
-
Amisom kuchunguza kikamilifu madai kwamba KDF inaua raia wa Somalia
Jun 06, 2021 03:25Ujumbe wa Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) umeahidi kuchunguza madai yanayosema kwamba, Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) limewaua raia katika eneo la Gedo nchini Somalia katika shambulizi la anga dhidi ya wanamgambo wa Al-Shabaab.
-
Somalia yadai jeshi la Kenya linaua raia katika hujuma zake za anga
Jun 05, 2021 21:57Serikali ya Somalia kwa mara nyingine tena imekosoa vikali kile ilichodai kuwa ni tabia ya Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) kuua raia wa Kisomali katika mashambulizi yake ya anga katika eneo la Gedo, jimbo la Jubaland kusini mwa Somalia.
-
Wanachama 30 wa kundi la kigaidi la al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia
Jun 02, 2021 02:15Jeshi la Somalia limefanikiwa kuua wanachama wasiopungua 30 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati mwa nchi.