Jun 05, 2022 08:06
Mtaalamu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu nchini Sudan ametaka kuharakishwa uchunguzi kuhusu mauaji ya waandamanaji pamoja na jinai zingine zilizofanywa katika nchi hiyo, huku idadi ya vifo vilivyotokea tangu yalipofanyika mapinduzi ya kijeshi mwaka uliopita ikikaribia watu 100.