Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan

  • Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100

    Waliouawa katika mapigano ya kikabila Sudan wapindukia 100

    Jul 21, 2022 08:12

    Idadi ya watu waliouawa katika machafuko ya kikabila katika jimbo la Blue Nile kusini mashariki mwa Sudan imeongezeka na kufikia watu 105.

  • Ghasia na machafuko ya kikabila yashamiri zaidi Sudan, idadi ya waliouawa ni 79

    Ghasia na machafuko ya kikabila yashamiri zaidi Sudan, idadi ya waliouawa ni 79

    Jul 19, 2022 10:04

    Ghasia machafuko ya kikabila yaliyoanzia katika Jimbo la Blue Nile nchini Sudan yamepanuka zaidi na kuingia katika majimbo kadhaa ya nchi hiyo, huku maelfu ya watu wa kabila la Hausa wakiandamana na kufunga barabara katika maeneo kadhaa kupinga ghasia hizo, ambazo wanasema ziliwalenga wao katika Jimbo la Blue Nile.

  • Kiongozi wa kijeshi wa Sudan awateua wanajeshi watano kuwa mabalozi

    Kiongozi wa kijeshi wa Sudan awateua wanajeshi watano kuwa mabalozi

    Jul 11, 2022 03:18

    Kamanda wa jeshi la Sudan amewateua majenerali watano wa polisi, jeshi na askari usalama kuwa mabalozi wa Khartoum.

  • Kujiondoa kwa Baraza la Kijeshi la Sudan katika mchakato wa mazungumzo na makundi ya kisiasa

    Kujiondoa kwa Baraza la Kijeshi la Sudan katika mchakato wa mazungumzo na makundi ya kisiasa

    Jul 05, 2022 21:56

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Sudan ametangaza kujiondoa kwa Baraza la Kijeshi la nchi hii katika mazungumzo ya moja kwa moja na makundi ya kisiasa.

  • Tisa wauawa Sudan katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi

    Tisa wauawa Sudan katika maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi

    Jul 01, 2022 05:56

    Takriban waandamanaji tisa waliuawa kwa kupigwa risasi nchini Sudan siku ya Alhamisi, matabibu wamesema, huku umati mkubwa wa watu ukiingia mitaani licha ya ulinzi mkali na kukatika kwa mawasiliano kuandamana dhidi ya utawala wa kijeshi ulionyakua mamlaka miezi minane iliyopita.

  • AU yataka Sudan, Ethiopia ziache makabiliano ya kijeshi mpakani

    AU yataka Sudan, Ethiopia ziache makabiliano ya kijeshi mpakani

    Jun 30, 2022 03:42

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imetoa mwito kwa nchi za Sudan na Ethiopia kujizuia na kutochukua hatua yoyote inayoweza kushadidisha mivutano ya kijeshi katika eneo la al-Fashaqa, lililoko katika mpaka wa pamoja wa nchi mbili hizo jirani.

  • Khartoum yaituhumu Addis Ababa kuwanyonga wafungwa wa Sudan na kuonyesha miili yao

    Khartoum yaituhumu Addis Ababa kuwanyonga wafungwa wa Sudan na kuonyesha miili yao

    Jun 27, 2022 22:21

    Jeshi la Sudan limelitumu jeshi la Ethiopia kuwa limewanyonga wanajeshi 7 na raia mmoja wa Sudan waliokuwa wafungwa nchini humo, jambo ambalo limekanushwa na maafisa rasmi wa Ethiopia, wakieleza kuwa Addis Ababa itatoa tamko rasmi la kujibu madai hayo ya Sudan.

  • Mvutano baina ya Ethiopia na Sudan: Jeshi la Ethiopia latuhumiwa kuwaua Wasudan wanane

    Mvutano baina ya Ethiopia na Sudan: Jeshi la Ethiopia latuhumiwa kuwaua Wasudan wanane

    Jun 27, 2022 03:26

    Sudan imesema, jeshi la Ethiopia limeua raia wanane wa nchi hiyo.

  • UN: Thuluthi moja ya Wasudan wanakabiliwa na njaa

    UN: Thuluthi moja ya Wasudan wanakabiliwa na njaa

    Jun 17, 2022 06:52

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema zaidi ya asilimia 30 ya wananchi wa Sudan wanasumbuliwa na mgogoro mkubwa wa chakula uliosababishwa na mabadiliko ya tabianchi, mzozo wa kisiasa na kupanda bei za chakula katika soko la dunia.

  • UN: Mauaji mapya ya kikabila nchini Sudan yameua watu 145

    UN: Mauaji mapya ya kikabila nchini Sudan yameua watu 145

    Jun 15, 2022 07:19

    Umoja wa Mataifa umesema idadi ya watu waliouawa katika wimbi jipya la mapigano ya kikabila huko Sudan imeongezeka na kufikia 145.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS