-
WHO yatangaza mlipuko wa homa ya njano Sudan Kusini
Apr 14, 2020 08:40Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya mlipuko wa homa ya njano katika maeneo ya kusini mwa Sudan Kusini.
-
Umoja wa Mataifa wapongeza kuundwa baraza la mawaziri Sudan Kusini
Mar 15, 2020 07:37Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amepongeza hatua ya kuundwa baraza la mawaziri la serikali ya mpito ya umoja wa kitafa nchini Sudan Kusini.
-
Mamia wapoteza makazi baada ya moto kuteketeza eneo kubwa Sudan Kusini
Feb 26, 2020 04:03Mamia ya watu wamepoteza makazi yao Sudan Kusini katika eneo la Nzara baada ya kukumbwa na janga la moto wa nyika ambao umeteketeza takribani maili tano mraba katika jimbo la Equatoria Magharibi.
-
Misri yapongeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini
Feb 24, 2020 08:19Serikali ya Misri imepngeza kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini na kusema kuwa ina matumaini hatua hiyo itatoa fursa ya kushuhudiwa utulivu na usalama wa kudumu nchini humo.
-
UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini
Feb 23, 2020 10:06Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.
-
Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali kufikia Jumamosi
Feb 20, 2020 23:14Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamesisitiza kuwa wataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Jumamosi ya kesho (Februari 22) kama ilivyopangwa.
-
Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini amepinga pendekezo la amani la Rais Kiir
Feb 17, 2020 04:22Waasi nchini Sudan Kusini wamepinga pendekezo la amani la Rais Salva Kiir wa nchi hiyo ambalo lingeipelekea nchi hiyo kurejea katika idadi ya awali ya majimbo kumi na nyongeza ya majimbo mapya matatu.
-
Rais wa Sudan Kusini atekeleza takwa la upinzani, apunguza idadi ya majimbo
Feb 16, 2020 04:40Afrika Kusini imepongeza hatua ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini ya kupunguza idadi ya majimbo nchini, moja ya matakwa makuu ya upinzani unaoongozwa na Riek Machar, kwa ajili ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
-
UN yatahadharisha kuhusu ongezeko la ghasia nchini Sudan Kusini
Feb 08, 2020 04:10Kamisheni ya Haki za Binaadamu ya Umoja wa Mataifa imetahadharisha juu ya ongezeko la vitendo vya utumiaji mabavu wa silaha kutokana na kuchelewa kutekelezwa makubaliano ya amani na kuzitia doa sheria za haki za binaadamu nchini Sudan Kusini.
-
AU yaunga mkono mchakato wa amani wa Sudan Kusini
Feb 05, 2020 10:51Umoja wa Afrika AU umeelezea kufurahishwa kakwe na juhudi za kuutafutia ufumbuzi wa kisiasa mgogoro wa Sudan Kusini ambao unalenga kurejesha amani katika nchi hiyo iliyokumbwa na machafuko tangu kuasisiwa kwake.