Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia

    UN: Wasudan Kusini wanaunda idadi kubwa ya wakimbizi Ethiopia

    Jan 26, 2020 09:28

    Umoja wa Mataifa umesema raia wa Sudan Kusini ndio wanaounda idadi kubwa ya wakimbizi nchini Ethiopia.

  • Sudan na Sudan Kusini zaongeza muda wa mapatano ya mafuta hadi Machi 2022

    Sudan na Sudan Kusini zaongeza muda wa mapatano ya mafuta hadi Machi 2022

    Dec 24, 2019 23:26

    Sudan na Sudan Kusini zimeafikiana kuhusu kurefusha makubaliano ya mafuta na mapatano mengine husika ya kiuchumi hadi mwezi wa Machi mwaka 2022.

  • Makumi wauawa Sudan Kusini licha ya makubaliano ya amani

    Makumi wauawa Sudan Kusini licha ya makubaliano ya amani

    Dec 18, 2019 23:03

    Zaidi ya watu 100 wameuawa katika mapigano ya kikabila ndani ya mwezi mmoja uliopita nchini Sudan Kusini, licha ya pande mbili hasimu za kisiasa kukubaliana juu ya kuundwa serikali ya umoja kitaifa.

  • Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja

    Rais wa Sudan Kusini: Tumeshafikia makubaliano na Machar ya kuunda serikali ya umoja

    Dec 17, 2019 09:57

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema, yeye na aliyekuwa kiongozi mkuu wa waasi Riek Machar leo wamefikia makubaliano ya kuunda serikali iliyokuwa ikingojewa kwa muda mrefu, ya umoja wa kitaifa.

  • Watu milioni 5.5 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini

    Watu milioni 5.5 katika hatari ya kufa njaa Sudan Kusini

    Dec 12, 2019 21:13

    Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu milioni tano na laki tano wanakabiliwa na baa la njaa nchini Sudan Kusini, kutokana na ukame na mafuriko ya hivi karibuni yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha.

  • Rais Kiir wa Sudan Kusini na Machar kukutana ana kwa ana Juba

    Rais Kiir wa Sudan Kusini na Machar kukutana ana kwa ana Juba

    Dec 10, 2019 04:20

    Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani, Riek Machar wanatazamiwa kukutana leo Jumanne katika mazungumzo ya uso kwa uso katika mji mkuu wa nchi hiyo Juba.

  • Makumi wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini

    Makumi wauawa katika mapigano mapya Sudan Kusini

    Dec 07, 2019 03:59

    Kwa akali watu 67 wameuawa huku makumi ya wengine wakijeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila yaliyotokea katika jimbo la Western Lakes nchini Sudan Kusini.

  • UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    UN yatuma wanajeshi katika eneo lililokumbwa na mapigano ya kikabila Sudan Kusini

    Dec 03, 2019 23:31

    Umoja wa Mataifa umetuma kikosi cha askari wake wa kulinda amani katika eneo la katikati mwa Sudan Kusini ambako watu karibu 80 wameuawa katika mapigano ya kikabila.

  • UN: Sudan Kusini yasajili kikosi kipya cha wapiganaji kinyume na makubaliano

    UN: Sudan Kusini yasajili kikosi kipya cha wapiganaji kinyume na makubaliano

    Nov 27, 2019 10:06

    Umoja wa Mataifa umesema Idara ya Usalama wa Taifa ya Sudan Kusini imeunda kikosi kipya chenye wapiganaji 10,000 kinyume na makubaliano ya amani.

  • UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini

    UN yakaribisha kuongezwa muda wa kipindi cha mpito Sudan Kusini

    Nov 12, 2019 04:31

    Umoja wa Mataifa umekaribisha uamuzi wa Shirika la Kiserikali la Ustawi wa nchi za Mashariki mwa Afrika (IGAD) wa kurefusha kwa siku 100 kipindi cha mpito nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS