Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

    Museveni kuwakutanisha ana kwa ana Rais wa Sudan Kusini na Machar

    Nov 05, 2019 04:29

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda anatazamiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa ana kwa ana baina ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini na kinara wa upinzani Riek Machar jijini Kampala.

  • Kinara wa waasi Sudan Kusini atarejea Juba kwa ajili ya mazungumzo

    Kinara wa waasi Sudan Kusini atarejea Juba kwa ajili ya mazungumzo

    Oct 18, 2019 04:01

    Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar anatarajiwa kurejea Juba kwa ajili ya duru nyingine ya mazungumzo na Rais Salva Kiir.

  • Kiongozi wa waasi Sudan Kusini kukutana na Rais Kiir, wawili hao wanajadili mpango wa amani

    Kiongozi wa waasi Sudan Kusini kukutana na Rais Kiir, wawili hao wanajadili mpango wa amani

    Sep 09, 2019 08:44

    Kiongozi wa zamani wa waasi wa Sudan Kusini, Riek Machar alitazamiwa kufanya safari katika mji mkuu wa nchi hiyo, Juba hii leo kwa shabaha ya kukutana na kufanya mazungumzo na Rais Salva Kiir.

  • Kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu nchini Sudan Kusini

    Kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu nchini Sudan Kusini

    Aug 27, 2019 06:46

    Licha ya kutiwa saini makubaliano ya amani huko Sudan Kusini, lakini machafuko na vitendo vya utumiaji mabavu vingali vinaendelea kushuhudiwa katika nchi hiyo.

  • Machar atoa masharti mapya ya kurejea Sudan Kusini

    Machar atoa masharti mapya ya kurejea Sudan Kusini

    Jul 14, 2019 02:54

    Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ametoa mwito wa kuondolewa adhabu ya kifungo cha nyumbani, kama moja ya masharti yake ya kurejea mjini Juba.

  • Jumanne, tarehe 9 Julai, 2019

    Jumanne, tarehe 9 Julai, 2019

    Jul 08, 2019 21:53

    Leo ni Jumanne tarehe 6 Dhulqaada 1440 Hijria sawa na tarehe 9 Julai mwaka 2019.

  • Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia

    Jeshi la Sudan Kusini lakanusha madai ya UN kuwa limeua raia

    Jul 04, 2019 21:56

    Jeshi la Sudan Kusini limekanusha vikali madai ya Umoja wa Mataifa kwamba limeua makumi ya raia wa nchi hiyo katika eneo la Central Equatoria.

  • Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 100 wameuawa katika machafuko ya Sudan Kusini

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 100 wameuawa katika machafuko ya Sudan Kusini

    Jul 04, 2019 00:13

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuuwa, zaidi ya watu 100 wameuawa katika mapigano ya hivi karibuni katika nchi ya Sudan Kusini

  • UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    UN: 60% ya wananchi wa Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa

    Jun 15, 2019 03:28

    Mashirika ya Umoja wa Mataifa yamesema jumla ya watu milioni 7 sawa na asilimia 60 ya jamii nzima ya Sudan Kusini wanakabiliwa na baa la njaa.

  • Mapigano yaibuka upya jimboni Yei nchini Sudan Kusini

    Mapigano yaibuka upya jimboni Yei nchini Sudan Kusini

    May 29, 2019 03:36

    Mapigano kati ya vikosi vya serikali na wapiganaji wa kundi la waasi la National Salvation Front (NAS) linaloongozwa na Jenerali Thomas Cirillo yameibuka upya katika mkoa wa Yei nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS