Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Mkuu wa Baraza la Mpito la Sudan aonana na rais wa Sudan Kusini

    Mkuu wa Baraza la Mpito la Sudan aonana na rais wa Sudan Kusini

    May 28, 2019 03:29

    Mkuu wa Baraza la Kijeshi la Mpito la Sudan ameonana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini katika kikao cha faragha.

  • Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    Amnesty yaikosoa Israel kwa kuziuzia silaha nchi zinazokiuka haki za binadamu

    May 20, 2019 06:33

    Shirika la kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limeukosoa vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuendelea kuziuzia silaha na suhula za kiintelijensia nchi ambazo zinatambulikwa kwa ukiukakaji wa haki za binadamu.

  • Sudan Kusini yaamua kufunga balozi zake kadhaa nje ya nchi

    Sudan Kusini yaamua kufunga balozi zake kadhaa nje ya nchi

    May 19, 2019 20:51

    Sudan Kusini imesema kuwa inapamga kufunga balozi zake katika miji mikuu sita duniani zikiwemo balozi zake zilizoko Saudi Arabia, Imarati na Norway.

  • Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini: Niko tayari kuachia ngazi

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini: Niko tayari kuachia ngazi

    May 15, 2019 01:55

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amesema yuko tayari kuachia ngazi na kukabidhi madaraka iwapo kutakuwa na haja ya msingi ya yeye kuchukua hatua hiyo.

  • IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini

    IEA: Kenya na Uganda zinatakatisha 'fedha chafu' za Sudan Kusini

    Apr 21, 2019 23:00

    Ripoti ya Taasisi ya Masuala ya Uchumi IEA imefichua kuwa, Kenya na Uganda zimefeli kuzuia mzunguko wa pesa haramu zinazotoka katika nchi changa zaidi barani Afrika, Sudan Kusini.

  • Rais Kiir wa Sudan Kusini amuomba Machar ajiunge na serikali ya umoja wa kitaifa

    Rais Kiir wa Sudan Kusini amuomba Machar ajiunge na serikali ya umoja wa kitaifa

    Apr 20, 2019 22:09

    Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini amemhimiza kiongozi wa upinzani Riek Machar kurejea nyumbani haraka ili kusaidia kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

  • Machar: Siko tayari kurejea nchini Sudan Kusini kwa sasa

    Machar: Siko tayari kurejea nchini Sudan Kusini kwa sasa

    Apr 18, 2019 22:32

    Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema hayuko tayari kurejea nchini mwake kwa sasa, huku akitoa mwito wa kuakhirishwa mchakato wa kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Sudan Kusini inataka uanachama wa WTO kustawisha uchumi wake

    Sudan Kusini inataka uanachama wa WTO kustawisha uchumi wake

    Apr 17, 2019 23:11

    Serikali ya Sudan Kusini imetangaza azma yake ya kujiunga na Shirika la Biashara Duniani ,WTO, ili kuimarisha uchumi wake baada ya kumalizika vita vya muda mrefu nchini humo.

  • Machar asema ni muhali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Sudan Kusini

    Machar asema ni muhali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Sudan Kusini

    Apr 13, 2019 03:04

    Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar amesema ni vigumu kuunda serikali ya umoja wa kitaifa katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kufikia Mei 12 kama ilivyopangwa chini ya makubaliano ya amani ya Addis Ababa kati yake na Rais Salva Kiir.

  • Kinara wa upinzani wa Sudan Kusini 'azuiwa' kushiriki mkutano wa Vatican

    Kinara wa upinzani wa Sudan Kusini 'azuiwa' kushiriki mkutano wa Vatican

    Apr 10, 2019 03:23

    Kiongozi wa upinzani wa Sudan Kusini, Riek Machar ameripotiwa kuzuiwa kwenda Vatican, Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani nchini Italia kushiriki mkutano wa amani kati yake na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS