Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10

    Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10

    Oct 19, 2022 21:15

    Duru za Syria zimetangaza habari ya kukutana ujumbe mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.

  • Makumi ya magaidi wa ISIS wauawa katika operesheni ya jeshi la Syria

    Makumi ya magaidi wa ISIS wauawa katika operesheni ya jeshi la Syria

    Oct 16, 2022 07:14

    Makumi ya wanamgambo wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wameangamizwa katika operesheni ya jeshi la Syria kusini mwa nchi.

  • Askari 18 wa Syria wauawa katika mripuko wa bomu dhidi ya basi

    Askari 18 wa Syria wauawa katika mripuko wa bomu dhidi ya basi

    Oct 14, 2022 04:08

    Kwa akali wanajeshi 18 wa Syria wameuawa katika shambulio la bomu lililolenga basi la maafisa na askari wa jeshi la nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Damascus: Marekani inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake kutoka Syria

    Damascus: Marekani inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake kutoka Syria

    Oct 08, 2022 23:26

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imesisitiza kuwa, Washington inapaswa kuondoa mara moja majeshi yake haramu katika ardhi ya Syria.

  • Kuhuishwa uhusiano wa Hamas na Syria; kuimarisha muqawama katika eneo

    Kuhuishwa uhusiano wa Hamas na Syria; kuimarisha muqawama katika eneo

    Sep 18, 2022 06:47

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria katika fremu ya uamuzi wake wa kuanzisha tena uhusiano na serikali ya Damascus.

  • Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili

    Wakuu wa Intelijensia wa Uturuki na Syria wakutana Damascus kuandaa mkutano wa viongozi wa juu wa nchi mbili

    Sep 16, 2022 20:55

    Shirika la habari la Reuters limezinukuu duru za Syria na Uturuki na kutangaza kuwa Hakan Faidan, mkuu wa shirikia la intelijensia la Uturuki na mwenzake wa Syria Ali Mamluk wamekutana kwa mazungumzo katika mji mkuu wa Syria Damascus ili kuandaa mazingira ya mkutano wa viongozi wa ngazi ya juu zaidi wa nchi mbili.

  • Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria

    Hamas: Tunatazamia kuwa na uhusiano imara na Syria

    Sep 15, 2022 06:18

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kuwa inataka kuwa na uhusiano imara na Syria ikiwa ni katika fremu ya uamuzi wa harakati hiyo wa kuanzisha tena uhusiano na Damascus.

  • Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

    Syria: Tutatumia haki yetu ya kisheria kujibu jinai za utawala haramu wa Israel

    Sep 08, 2022 03:16

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Syria imetangaza kuwa, mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel dhidi ya Uwanja wa Ndege wa Halab ni jinai za kivita na kwamba, Damascus itatumia haki yake ya kisheria kwa ajili ya kujibu jinai za utawala huo.

  • Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi

    Syria: Vikwazo ndiyo aina mbaya zaidi ya ugaidi

    Sep 06, 2022 21:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amevitaja vikwazo kama uhaini na aina mbaya zaidi ya ugaidi duniani.

  • Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

    Israel yaua shahidi Wapalestina 2; yashambulia Syria kwa makombora

    Sep 01, 2022 03:02

    Utawala wa Kizayuni wa Israel umeendeleza jinai na chokochoko zake dhidi ya mataifa mawili ya Waislamu katika eneo hili la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS