Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni za kushambuia maghala ya chakula nchini Syria

    Iran yalaani jinai za utawala wa Kizayuni za kushambuia maghala ya chakula nchini Syria

    Dec 29, 2021 08:26

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulio ya mara kwa mara ya utawala wa Kizayuni katika ardhi ya Syria hususan jinai zake za kushambulia maghala ya vyakula na madawa katika bandari ya Ladhakia.

  • Ershadi: Baraza la Usalama la UN liilazimishe Israel kuondoka Golan

    Ershadi: Baraza la Usalama la UN liilazimishe Israel kuondoka Golan

    Dec 21, 2021 04:50

    Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuwahami na kuwasaidia watu na serikali ya Syria kwa ajili ya kukomboa ardhi yao inayokaliwa kwa mabavu na amesisitiza kuwa Baraza la Usalama linapaswa kuulazimisha utawala haramu wa Israel kuondoka Golan na kukomesha uvamizi na uchokozi wake.

  • Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria

    Kufichuliwa sura mpya vya uhalifu wa Marekani nchini Syria

    Dec 13, 2021 09:03

    Gazeti la New York Times limewanukuu maafisa wa zamani wa jeshi wa Marekani, kwamba kitengo cha operesheni za siri cha jeshi la nchi hiyo kilikuwa kikiwaua mara kwa mara raia katika operesheni zilizotajwa kuwa ni dhidi ya Daesh nchini Syria.

  • Iran na Syria kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara

    Iran na Syria kuimarisha zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara

    Dec 03, 2021 07:19

    Waziri wa Uchumi wa Syria amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zina nia ya kweli ya kuimarisha zaidi na zaidi ushirikiano wao wa kiuchumi na kibiashara.

  • Baraza Kuu la UN lazidisha muda wa azimio dhidi ya Israel

    Baraza Kuu la UN lazidisha muda wa azimio dhidi ya Israel

    Dec 02, 2021 06:05

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limetaka kuondoka kikamilifu utawala ghasibu wa Israel katika Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo

    Kurejea Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu; kushindwa siasa za kuvuruga usalama wa eneo

    Nov 26, 2021 07:05

    Mwanachama wa Kamisheni ya Usalama wa Kitaifa na Siasa za kigeni ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema ombi la nchi za Kiarabu la kutaka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu, Arab League, ni alama ya kushindwa siasa za kuvuruga usalama na kutaka kubadilisha muundo wa siasa nchini Syria.

  • Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga

    Safari za kidiplomasia nchini Syria; kushindwa siasa za kuitenga

    Nov 20, 2021 01:15

    Kufanyika safari za kidiplomasia nchini Syria ni dalili ya wazi kwamba siasa za wapinzani za kujaribu kuitenga serikali ya Damascus zimegonga mwamba.

  • Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria

    Kufichuliwa jinai za kivita za jeshi la Marekani nchini Syria

    Nov 14, 2021 07:42

    Gazeti la New York Times limetoa ripoti inayoonyesha kuwa, jeshi la Marekani limetenda uhalifu wa kivita kwa kuua makumi ya wanawake na watoto katika mashambulio ya anga liliyofanya nchini Syria kwa kisingizio cha kile kinachoitwa mapambano dhidi ya kundi la DAESH (ISIS).

  • Jeshi la Marekani lilificha mauaji ya watoto na wanawake 64 Syria

    Jeshi la Marekani lilificha mauaji ya watoto na wanawake 64 Syria

    Nov 14, 2021 04:37

    Imebainika kuwa, jeshi vamizi la Marekani lilificha kwa makusudi taarifa za kufanyika mashambulizi mawili ya anga yaliyoua makumi ya watoto wadogo na wanawake wa Syria mwaka 2019.

  • Hotuba ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi

    Hotuba ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi

    Nov 12, 2021 22:53

    Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amehutubia kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi na kuzungumzia masuala mbalimbali kama kadhia ya Syria, mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na sera za Saudi ArabiA dhidi ya Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS