-
Hotuba ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi
Nov 12, 2021 22:53Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amehutubia kwa mnasaba wa Siku ya Shahidi na kuzungumzia masuala mbalimbali kama kadhia ya Syria, mwenendo wa kuanzishwa uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na sera za Saudi ArabiA dhidi ya Lebanon.
-
Sayyid Nasrullah: Nchi za Kiarabu zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi
Nov 12, 2021 04:22Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa nchi za Kiarabu hatimaye zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi.
-
Ngao ya ulinzi wa anga ya Syria yatungua makombora ya Wazayuni
Nov 09, 2021 04:44Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya utawala haramu wa Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye maeneo ya pwani na katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Sheikh Naeem Qasim: Juhudi za Marekani za kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli
Nov 04, 2021 04:22Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa uvamizi wa Marekani nchini Syria na juhudi za nchi hiyo za kutaka kuanzisha Mashariki ya Kati Mpya zimefeli na kugonga mwamba.
-
Wakurdi wa Syria wakubali kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na Serikali
Nov 01, 2021 21:29Mjumbe wa Baraza Kuu la chama cha Umoja wa Demokrasia cha Wakurdi amesema kuwa, chama chake, mirengo tanzu na taasisi zilizoko chini chama hicho ikiwemo ile ya kupigania eneo la utawala wa ndani la Wakurdi ziko tayari kufanya mazungumzo ya ana kwa ana na serikali ya Rais Bashar al Assad nchini Syria.
-
Hali mbaya zaidi ya kiuchumi na kibinaadamu wanayokabiliana nayo wananchi wa Syria
Oct 28, 2021 13:31Mgogoro wa ndani wa Syria na uungaji mkono wa mhimili wa Waarabu, Waebrania, Wamagharibi na Waturuki kwa makundi ya kigaidi, vimepelekea kushadidi hali ya ufukara na umasikini nchini humo, jambo ambalo hata Umoja wa Mataifa pia umeamua kulitolea indhari.
-
Ravanchi:Baraza la Usalama liilazimishe Israel ihitimishe kuikalia kwa mabavu Golan
Oct 28, 2021 11:15Balozi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa Baraza la Usalama la umoja huo linalazimiika kutekeleze wajibu wake na kuulazimisha utawala wa Kizayuni wa Israel uache kuikalia kwa mabavu miinuko ya Golan na uvamizi dhidi ya Syria.
-
Russia: Hali ya maeneo yanayodhibitiwa na makundi ya waasi Syria inatia wasiwasi
Oct 28, 2021 06:52Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa hali inayoshuhudiwa katika maeneo yanayodhibitiwa na makundi ya waasi nchini Syria ni mbaya na inatia wasiwasi mkubwa.
-
Wasyria waandamana kushinikizi kuondoka vikosi vamizi vya Uturuki
Oct 26, 2021 04:33Mamia ya wananchi wa Syria wamefanya maandamano katika mkoa wa Aleppo (Halab), kaskazini magharibi mwa nchi kulaani uwepo wa wanajeshi vamizi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Dalali wa silaha za magaidi nchini Syria afilisika, Canada yampa kinga ya ukimbizi
Oct 24, 2021 23:02Mmoja wa madalali aliyekuwa akiyauzia silaha magenge ya kigaidi nchini Syria likiwemo la Daesh (ISIS) amefilisika vibaya kiasi kwamba Canada imempa kinga ya ukimbizi nchini humo.