-
Kushindwa Marekani kuzuia kuanzishwa tena uhusiano wa nchi za Kiarabu na Syria
Oct 16, 2021 03:53Akizungumza Jumatano mbele ya waandishi habari mjini Washington, Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema nchi hiyo haina nia ya kuunga mkono juhudi za kuboreshwa uhusiano na serikali ya Syria.
-
Vikosi vya ulinzi vya Iraq vyadhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa nchi hiyo na Syria
Oct 13, 2021 22:49Komandi ya Vikosi vya Gadi ya Mipakani ya Iraq imetangaza kuwa hivi sasa jeshi la nchi hiyo linalidhibiti kikamilifu eneo la mpaka wa Iraq na Syria.
-
Jeshi la Syria latungua makombora ya utawala haramu wa Israeli
Oct 10, 2021 04:17Mfumo wa ngao ya makombora wa Syria umefanikiwa kutungua aghalabu ya makombora ya Israeli yaliyokuwa yamevurumishwa kuelekea kwenye mkoa wa Homs, katikati mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Amir-Abdollahian: Iran ipo pamoja na Syria kwa nguvu zake zote
Oct 09, 2021 22:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili lipo pamoja na bega kwa bega na Syria na kuitaja nchi hiyo ya Kiarabu kama mshirika wa kistratijia wa Iran.
-
Interpol yairejeshea Syria uanachama wake
Oct 05, 2021 04:28Syria imerejeshewa uanachama wake katika shirika la Polisi ya Kimataifa (Interpol).
-
Lavrov: Kuna tishio la kigaidi huko Idlib, Syria
Oct 04, 2021 22:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa kuna tishio la kigaidi katika mkoa wa Idlib kaskazini mwa Syria na kwamba tishio hilo linaongezeka pia katika baadhi ya maeneo nchini humo.
-
Uturuki: Tuna haki kama zilivyo Russia na Marekani ya kuwepo kijeshi nchini Syria
Oct 02, 2021 08:52Msemaji wa rais wa Uturuki amedai kuwa, nchi hiyo, kama zilivyo Russia na Marekani, ina haki ya kuwepo kijeshi katika ardhi ya Syria.
-
Al Miqdadi: Marekani ikomeshe kuwepo kwake haramu kijeshi katika ardhi ya Syria
Sep 25, 2021 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa, kuwepo kijeshi Marekani nchini humo ni haramu na kinyume cha sheria na inapasa Washington iondoke katika ardhi ya nchi hiyo haraka iwezekanavyo.
-
Meli ya pili ya mafuta kutoka Iran kwa ajili ya Lebanon yatia nanga Baniyas
Sep 24, 2021 04:13Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa meli kubwa ya pili ya mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetia nanga katika bandari ya Baniyas nchini Syria.
-
Msafara mpya wa malori ya mafuta kutoka Iran yamewasili Lebanon
Sep 22, 2021 04:02Televisheni ya al Mayadeen imetangaza kuwa msafara mwingine wa malori yenye shehena ya mafufa kutoka Iran umewasili Lebanon baada ya kuvuka mpaka wa Syria.