-
Balozi wa Syria UN: Ugaidi wa siha wa Marekani umehatarisha maisha ya watu bilioni mbili duniani
May 10, 2020 08:58Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema, ugaidi unaolenga siha za watu ni hatua mpya ya upande mmoja ya Marekani ambayo imeyaweka hatarini maisha ya watu bilioni mbili duniani.
-
Wananchi wa Misri wahimiza kupambana na vikwazo vya Marekani dhidi ya Syria
May 10, 2020 03:16Harakati moja ya wananchi wa Misri imesisitiza kuwa, jamii ya kimataifa ina wajibu wa kuishukuru Syria kwa kusimama kidete na kujitolea kupambana vilivyo na magenge ya kigaidi ambayo ni hatari kwa usalama wa dunia nzima, na imeyataka mataifa ya dunia kuungana kupinga vikwazo vya kidhulma vya Marekani dhidi ya Syria.
-
HAMAS yasisitiza kuweko umoja wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na Israel
May 01, 2020 02:45Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa wito wa kuweko umoja na mshikamano wa Umma wa Kiislamu kwa ajili ya kukabiliana na hujuma na uvamizi wa utawala haramu wa Israel.
-
Serikali ya Misri yaliunga mkono jeshi la Syria, yahimiza ushirikiano katika vita dhidi ya magaidi
Apr 23, 2020 21:58Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri ametilia mkazo udharura wa kuendelea operesheni za jeshi la Syria za kupambana na magenge ya kigaidi nchini humo.
-
Zarif: Iran inashirikiana na UN kuhitimisha matatizo ya Wayemen
Apr 21, 2020 03:29Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi hii inashirikiana na Umoja wa Mataifa katika jitihada za kuhakikisha kuwa matatizo na changamoto zinazowakabili wananchi wa Yemen zinafikia tamati.
-
Wakazi wa Al-Hasakah nchini Syria wawalazimisha askari wa Marekani kurudi nyuma
Apr 08, 2020 22:13Wakazi wa kijiji cha 'Kharab Askar' katika mkoa wa Al-Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria kwa mara nyingine tena wamewazuia askari wa Marekani na kuwalazimisha kurudi nyuma.
-
UN yapinga madai ya kuhusika Syria katika shambulizi dhidi ya hospitali za Idlib
Apr 07, 2020 03:47Kamati ya Uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imepinga madai kwamba Syria imeshambulia hospitali na vituo vya afya huko Idlib.
-
Jumamosi, 4 Aprili, 2020
Apr 06, 2020 01:59Leo ni Jumamosi tarehe 10 Shaaban 1441 Hijria, ambayo inasadifiana na tarehe 4 Aprili 2020 Miladia.
-
Wakati dunia imezongwa na corona, Marekani yawapelekea shehena za silaha magaidi nchini Syria
Mar 30, 2020 23:15Katika hali ambayo dunia imehamanika kutokana na janga la kirusi hatari cha corona, ndio kwanza dola la kibeberu na kiistikbari la Marekani linawatumia shehena za silaha magaidi huko nchini Syria.
-
Assad apigiwa simu na kiongozi wa UAE huku Syria ikikaribia ushindi kamili vitani
Mar 28, 2020 23:21Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mohammad bin Zayed Al-Nahyan amempigia simu Rais Bashar al Assad wa Syria huku jeshi la Syria likiwa linakaribia kupata ushindi kamili katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi yanayopata himaya ya kigeni nchini humo.