-
Assad apigiwa simu na kiongozi wa UAE huku Syria ikikaribia ushindi kamili vitani
Mar 28, 2020 23:21Mrithi wa Ufalme wa Abu Dhabi, katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mohammad bin Zayed Al-Nahyan amempigia simu Rais Bashar al Assad wa Syria huku jeshi la Syria likiwa linakaribia kupata ushindi kamili katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi yanayopata himaya ya kigeni nchini humo.
-
Machaguo mawili ya Moscow kwa makundi ya kigaidi, Idlib nchini Syria
Mar 18, 2020 23:13Russia imeyapa machaguo mawili makundi ya kigaidi yananayofadhiliwa na nchi za Magharibi katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria. Mwezi Januari mwaka huu jeshi la Syria na washirika wake walianzisha operesheni ya kuusafisha mkoa huo wa Idlib, ambao ndio ngome ya mwisho ya magaidi ndani ya nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Jumapili tarere 15 Machi 2020
Mar 14, 2020 22:58Leo ni Jumapili tarehe 20 Rajab, 1441 Hijiria sawa na tarehe 15 Machi 2020 Miladia.
-
Uturuki yasisitiza tena itaendelea kuwepo kijeshi Syria na wala haifikirii kuwaondoa askari wake Idlib
Mar 12, 2020 11:56Waziri wa Ulinzi wa Uturuki amesisitiza kwa mara nyingine kuwa nchi hiyo itaendelea kuwepo kijeshi katika eneo la Idlib nchini Syria.
-
Uturuki yakiri kuongezeka hasara za kijeshi nchini Syria
Mar 08, 2020 23:29Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amekiri juu ya hasara za kiroho na mali za jeshi la nchi yake huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria kufuatia mapigano makali kati ya askari wa nchi mbili.
-
Russia: Syria ina haki ya kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko ndani ya ardhi yake
Mar 07, 2020 03:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesisitiza kuwa, serikali ya Syria ina haki ya kuyatokomeza na kuyaangamiza makundi ya kigaidi yaliyoko katika ardhi yake.
-
Bashar Asad: Syria itaanza opesheni dhidi ya wavamizi wa Kimarekani karibuni
Mar 06, 2020 04:53Rais Bashar Assad wa Syria amesema kuwa Uturuki inatekeleza maagizo ya Marekani na inafanya juu chini kuhakikisha kwamba Damascus haikomboi mkoa wa Idlib kutoka kwenye makucha ya makundi ya kigaidi.
-
Guterres apongeza makubaliano ya Russia-Uturuki kuhusiana na mgogoro wa Syria
Mar 06, 2020 04:39Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amepongeza makubaliano yaliyofikiwa baina ya Russia na Uturuki kuhusiana na usiitishaji vita katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Wahajiri kutoka Syria, kisingizio kinachotumiwa na Rais Erdoğan wa Uturuki kuushinikiza Umoja wa Ulaya
Mar 05, 2020 03:15Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amelikataa pendekezo la Umoja wa Ulaya kuhusu kadhia ya wahajiri na kusema: Hakuna mtu yeyote mwenye haki na ustahiki wa kuichezea ghururi ya Uturuki. Erdoğan ameyasema hayo mjini Ankara katika mkutano na waandishi wa habari aliofanya pamoja na Waziri Mkuu wa Bulgaria, Boyko Borisov.
-
Syria yakaribisha suala la kupanuliwa uhusiano na nchi za Kiarabu
Mar 04, 2020 09:57Balozi wa Syria nchini Lebanon sambamba na kubainisha kwamba serikali ya Damascus inakaribisha kupanuliwa uhusiano na nchi za Kiarabu, amesema kuwa hata kama baadhi ya tawala za Kiarabu zilihusika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi nchini Syria, lakini raia wa mataifa ya Kiarabu wameonyesha huruma kwa raia wa Syria.