Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Putin: Moscow haina nia ya kuingia vitani na nchi yoyote

    Putin: Moscow haina nia ya kuingia vitani na nchi yoyote

    Mar 02, 2020 10:07

    Rais Vladimir Putin wa Russia ametoa radiamali yake kufuatia kushtadi mizozo kati ya nchi yake na Uturuki kuhusiana na kadhia ya Idlib, Syria na kusisitiza kwamba, Moscow haina nia ya kuingia vitani na nchi yoyote.

  • Arab League yaunga mkono kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo

    Arab League yaunga mkono kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo

    Mar 01, 2020 20:50

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) amekaribisha kurejeshwa Syria katika jumuiya hiyo.

  • Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Kura ya turufu ya Ugiriki na hatua ya Uturuki ya kuwaweka rehani wakimbizi

    Mar 01, 2020 07:09

    Uingiliaji wa wazi wa askari wa Uturuki katika mkoa wa Idlib nchini Syria, katika kuyaunga mkono makundi ya kigaidi yanayoendesha harakati zake mkoani humo, umepata uungaji mkono wa Wamagharibi.

  • Guterres asema yuko tayari kutuma ujumbe kaskazini mwa Syria

    Guterres asema yuko tayari kutuma ujumbe kaskazini mwa Syria

    Feb 29, 2020 23:10

    Kufuatia kushtadi mizozo katika eneo la kaskazini mwa Syria, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres ametangaza utayarifu wake kwa ajili ya kutuma ujumbe wa umoja huo katika mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki

    Ugiriki yazuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa NATO kwa Uturuki

    Feb 29, 2020 23:09

    Serikali ya Ugiriki imetumia haki yake ya turufu kuzuia kutolewa taarifa ya uungaji mkono wa Shirika la Kijeshi la Nchi za Magharibi (NATO) kwa Uturuki.

  • Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Wasiwasi wa Iran juu ya kushadidi machafuko katika eneo la magharibi mwa Asia

    Feb 29, 2020 05:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa kuhusiana na yanayojiri katika eneo la Idlib nchini Syria na kueleleza wasiwasi wa Tehran kuhusu uwezekano wa kushadidi zaidi mivutano na machafuko katika eneo hilo. Taarifa hiyo pia imelaani hatua zinazofanywa na pande nyingine kwa ajili ya kukwamisha mwenendo wa mazungumzo ya Astana.

  • Syria: Kuunga mkono ugaidi ni sera ya kudumu ya Uturuki na Wamagharibi

    Syria: Kuunga mkono ugaidi ni sera ya kudumu ya Uturuki na Wamagharibi

    Feb 29, 2020 03:42

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Syria imekosoa sera za Uturuki na Magharibi za kuyaunga mkono makundi ya kigaidi na kusisitiza kuwa, Damascus haitaruhusu nchi za Magharibi na waitifaki wao waendelee kuwabebesha daima dawamu wananchi wa Syria mzigo wa magaidi.

  • Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria

    Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria

    Feb 28, 2020 23:08

    Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.

  • Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi

    Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi

    Feb 28, 2020 04:24

    Vyombo vya habari katika eneo vimeripoti kuwa askari wasiopungua 33 wa jeshi la Uturuki wameangamizwa katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib

    Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib

    Feb 27, 2020 21:47

    Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS