-
Kutambuliwa kimataifa kwamba mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni jinai ya kivita
Sep 12, 2019 05:55Muungano wa kimataifa wa eti kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani uliundwa mwaka 2014 kwa madai ya kukabiliana na genge hilo la kigaidi, na umekuwa ukifanya mashambulizi ya kiholela nchini Syria bila ya kuwa na taathira zozote za maana mbaya kwa genge hilo la ukufurishaji.
-
UN: Mashambulizi ya Marekani nchini Syria ni sawa na jinai za kivita
Sep 12, 2019 03:24Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, mashambulizi yanayofanywa na Marekani na washirika wake huko Syria ni sawa na jinai za kivita.
-
Syria yalaani doria ya Marekani na Uturuki katika ardhi yake, yasema ni uvamizi
Sep 08, 2019 20:02Serikali ya Syria imelaani hatua ya majeshi ya Marekani na Uturuki ya kupiga doria ya pamoja katika eneo liliilopewa jina la "ukanda wa amani" huko mashariki mwa Furati kaskazini mwa Syria na kusema ni ukiukaji wa sheria za kimataifa na mamlaka ya kujitawa ya Syriia.
-
Alkhamisi tarehe 5 Septemba 2019
Sep 05, 2019 00:03Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Muharram 1441 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2019.
-
Zarif: Iran inaunga mkono ushiriki chanya wa Syria na Umoja wa Mataifa
Sep 03, 2019 08:41Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuhusu azma ya Tehran ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria kwa njia ya kisiasa na akasema Iran inaunga mkono ushiriki wowote chanya kati ya Damascus na Umoja wa Mataifa.
-
Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio
Sep 03, 2019 03:37Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.
-
Iran na Syria, kuanzia vita dhidi ya ugaidi hadi kwenye ushirikiano wa kiuchumi
Aug 30, 2019 03:29Waziri wa Barabara na Ujenzi wa Iran amewasili katika mji mkuu wa Syria, Damascus kwa shabaha ya kufuatilia ushirikiano wa kiuchumi na kuchunguza njia za kuimarisha zaidi ushirikiano wa pande mbili.
-
Msemaji wa serikali ya Iran: Utawala wa Kizayuni wa Israel ukubali taathira mbaya za uchokozi wake
Aug 26, 2019 07:31Msemaji wa Serikali ya Iran amelaani mashambulizi yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika nchi za Lebanon, Iraq na Syria na kusema kuwa, utawala huo unapaswa ukubali taathira mbaya za uchokozi huo.
-
Jeshi la Syria lachukua udhibiti wa miji katika ngome ya mwisho ya magaidi
Aug 23, 2019 22:16Jeshi la Syria limechukua udhibiti wa eneo la kaskazini maghairbi mwa mkoa wa Hama ambalo lilikuwa linashikiliwa na magaidi tangu miaka ya awali ya vita nchini humo.
-
Bashar al-Jaafari: Chimbuko la mizozo ya Mashariki ya Kati ni uvamizi wa Israel
Aug 21, 2019 03:19Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, chimbuko la mizozo na migogoro katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya Israel ya kuvamia na kukalia kwa mabavu ardhi za Kiarabu ikiwemo miinuko ya Golan ya Syria.